JF Happy New Year (2017) party

JF Happy New Year (2017) party

Ngoja niwe mtakwimu wa hizi shughuli dalili zinaonyesha graph itashuka kwa asilimia nyingi
 
Inaonekana Haina nguvu kutokana na mleta mada ila

Angeandika

Lara 1

Faiza Fox

Shunie

Miss Chagga

Valentina

Madamme

Heavy sent

Heavy salt

Miss Natafuta

Nk nk nk nk nk nk nk nk nk

Mada ingepamba moto hapa
 
Mngefanya mwaka mpya,single party,mwana JF wa kike na kiume,wakutane,ingekuwa poa...........lol
 
Nichek Pm tuongee Dili Mwaka Mpya Tukatanue Nchi za Ulaya Natafuta Mrembo Wa Kula Nae Maisha.
Please ni She Siyo Me.
 
mimi mweka hazina, part mbalamwezi beach
Mbona umewahi cheo kikubwa hicho?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom