JF Hard Talk "Da'Vinc"

brother unajua mimi nakukubali sana

naomba msaada mambo ya kuzingatia katika barua ya kazi na anuani inakaha wapi au hata kama unao mfano wake please brother nitumie
 
Safi sana...

Shukran kwa Mleta Uzi na Muulizwa/Mtahiniwa.

1.Maisha yanamaana gani kwako...?

2. What important truth do very few people agree with you on. .?

3.When do you think the World Will End...?


4.If God is good why is there so much evil in the World...?

5.How Replaceable are you...? Which is easier to love or be loved..?

5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua sijaiona hii mkuu Alisina..
Ngoja kesho nitakujibu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
brother unajua mimi nakukubali sana

naomba msaada mambo ya kuzingatia katika barua ya kazi na anuani inakaha wapi au hata kama unao mfano wake please brother nitumie
Upo serious mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Unafikiri kwanini watu huwa wanasema uongo ?
 
● maisha kwnagu yana maana ya kuishi katika misingi ya ubinaadamu yaani upendo, huruma na msamaha.
●Kwamba mm ni intelligent. Naweza sema ni kweli
●Kwakweli siwez hisi dunia itafika mwisho lini maana hata Mungu kasema hakuna ajuae siku wala saa ambapo atakaja.. so ni ngumu kukisia ila kwa mtazamo wa haraka naweza sema dunia inafika mwisho pale unapoondoka duniani
●Mkuu Mungu kaweka free will kila mtu achague jinsi anavyotaka kuishi.. Aishi kwa kufanya mema au mabaya. So kila mtu anachagua kile alichopenda.. wengi wanajichagulia mabaya
●Mkuu mm napenda kwa urahisi sana and I am too honest in rtshp but hua sipendwi


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Shukrani kwa Maelezo kamanda Wangu.

Hapo kwa Free Will panachangamoto hata Thomas Aquinas & Augustine Palikuwa n.a. shughuli kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leornardo DaVinci Moja Ya Binadamu anayesifika na kupewa Heshima kwa Mchango wake Mkubwa katika katika Maeneo mbali mbali,huku akipewa ubingwa katika Architecture,Art,Engineering,Science,Anatomy na nk.

Is it possible to be clever than Leonard Da'vinci...???


Fikiria/Assume kwamba kesho Ungekuwa unapoteza uhai Wako,
Jambo gani la Muhimu sana ungelifanya Leo..?


Kwa maoni yako Au utafiti wako au Mawazo yako Ni ipi Mikoa(Tatu/mbili) ipo nyuma kwa maendelo Tanzania...??
na Kwa nini ipo hivyo..?? na nini kifanyike...?


Mfano Ungekuwa na uwezo wa kutengeneza Taifa/Nchi yako, Taifa lako lingekuwa la namna gani...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Davinci Kwanini Integral ya Route of TanX ina exist bila ku intriduce limits, ila kwanini huwezi calculate Integral ya Route of SinX bila Kuintroduce Limits?
Tafadhali mkuu maswali ya mathematics niko mweupe.. sijui kabisa kuhusu math..sorry

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…