Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke
Japo mimi si muuliza swali hiyo namba moja naomba uelezee ni kwa nini?●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.
●Ujana maji ya moto una mapito mengi mno kama usipokua care waweza jutia ukicheza kipindi hiko (sijui kama nimejibu)
Mkuu ndoa ya mtaala kwenye ukristo nakubaliana kua usiruhusiwe maana Tumeumbwa kwa pair tuishi wawili wawili so naunga mkono kua Mke mmmoja ni sahihi.. kwenye kutoa mimba hapana aisee kubali kuvuna kile ulichokipanda maana kile kiumbe kina haki ya kuishi na mwisho ipo siku kitadai haki yake. Ndio maana mtu akitubu dhambi ya kutoa mimba yule mtoto hufanyiwa ubatizo wa imani
●Nitapeleka hoja ya watu wa dini wasijihusishe na siasa bali wawe kama walezi na waonyaji wa wana siasa.
●Si sahihi kumpa madaraka makubwa mwanamke kanisan
●NDIOO
Ni muda muafaka wa kumliwaza mume!!
Charismatic ni Kwa ajili ya kuinua uamsho wa kiroho kwa waamini pia kutoa huduma ya maombi na semina za mafundisho ya kidiniJapo mimi si muuliza swali hiyo namba moja naomba uelezee ni kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza maswali? Wasijeanza kutusumbuaNi muda muafaka wa kumliwaza mume!!
• Huoni charismatic inapingana na maagizo ya kuomba bila kupiga makelele?. je uamsho hauwezi patikana kwa kuomba kimya kimya kama utaratibu wa siku zote?●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.
●Ujana maji ya moto una mapito mengi mno kama usipokua care waweza jutia ukicheza kipindi hiko (sijui kama nimejibu)
Mkuu ndoa ya mtaala kwenye ukristo nakubaliana kua usiruhusiwe maana Tumeumbwa kwa pair tuishi wawili wawili so naunga mkono kua Mke mmmoja ni sahihi.. kwenye kutoa mimba hapana aisee kubali kuvuna kile ulichokipanda maana kile kiumbe kina haki ya kuishi na mwisho ipo siku kitadai haki yake. Ndio maana mtu akitubu dhambi ya kutoa mimba yule mtoto hufanyiwa ubatizo wa imani
●Nitapeleka hoja ya watu wa dini wasijihusishe na siasa bali wawe kama walezi na waonyaji wa wana siasa.
●Si sahihi kumpa madaraka makubwa mwanamke kanisan
●NDIOO
namalizia
Napenda sana kufahamu sana masuala ya akili inavyofanya kazi.. inanifanya niwe humble na kujitambua mwenyewe mwili na akili yangu hiko ndo kilichonisukuma nisome masuala ya Psychology• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
Hapana hatuko binaadamu pekee, kuna majini,mapepo, wanyama.. Lakini kuna uvumi wa muda mrefu kua kuna viumbe fulani huko anga za mbali huja kututembelea hapa duniani wengine wanasema wapo tunaishi nao humu tunawaona kama binaadam wenzetu. eti wengine wapo wanashirikiana na wanadamu katika maswala ya teknolojia huko marekani katika eneo linaitwa Area 51• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
Ndio tuna free will mkuu, lakini ukipima kwa jicho la tatu hiyo free will tuliyopewa ni bortion, kwanini nasema ni bortion? Mungu anasema kua katupa uhuru wa kuchagua kile tunachopenda either kushika sheria zake au kutoshika. lakini mkuu Mungu kaahidi kuweka adhabu kalii kwa wale wasiozishika huku akiwaahidi mema wale walioshika maagizo yake! Hivyo ukiangalia kwa makini watu wengiwanaomwamini wanamwamini kwa hofu ya kuogopa hizo adhabu alizoahidii. kwamantiki hiyo waweza ona kua hakuna exactly free will kama tunavyodhani ila ni hofu ya uoga wa adhabu zake• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
ningependa nirudi Karne ya kwanza wakati yule binaadamu mwenye kupendwa na wengi akingalipo hapa duniani, naye ni Yesu bin Mariam labda nami ningepata neema ya kuandamana nae wakati wa mafundisho yake• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
Mkuu wick nikweli kabisa hitler hajafikia kufanya mauaji makubwa kama aliyofanya genghis, Nepoleon au Alexander lakini naweza kua na hoja mbili kuu katika hili• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
Ndio mkuu kwa mtu asiye na imani thabiti akisoma kitabu cha the davinci code lazima imani yake iyumbe! Kwa kugundua hilo ndio maana kanisa katoliki likaja na kitabu kinachoitwa The davinci code hoax ili kukosoa makosa na uongo ulioko kwenye kitabu hiko• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
Uongo mwingi alioandika kuhusu kanisa katoliki like kifo cha Carpenicus• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
Mkuu una undugu na stephen sackur? 😛• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
[emoji23][emoji23] huyu bwana mkubwa yupo vizuri katika kujibu maswali bana!..Mkuu una undugu na stephen sackur? 😛
● Napenda muvi ya Doctor Strange cozDa'Vinci tukienda kwenye Filamu:
• Kwanini unampenda Dr. Strange? unapenda uchawi (magic)?.
• Star wars na Star trek ipi ni series bora kwako?
• Ukipewa chance kuigiza sehemu ipi utaitendea haki zaidi?..
• Kwanini mpaka leo tumeshindwa toa filamu kama "Shamba la bibi"?.
• Mchekeshaji bora kwa Tz upande wako ni nani?
• Kigoma mna nini kinachowafanya mdominate Tz mainstream?
• Ipi ni filamu bora kwako kati ya In the Shadow of Kilimanjaro, Prey na The Ghost and the Darkness (Lions of Tsavo).
Japo nilikua natukana ila sio sana mkuu!! Sidhani kama kuna mtu anatukana humu kama alivyokua HR 666, Sergio 5, The List, Padri Mcharo, Gentamycine, na wengineoDa'Vinci being smart as you are(sikufahamu nasikia Tu) kwanini ulikuwa unapenda kutukana watu?
Watu wanaudhi sana ni kweli, mimi nilishawahi kukutukana au kuku-attack kwa namna yoyote? Nauliza hivi kwasababu ulikuwa unanishambulia hadi nikakuweka ignore list kwasababu nilijua sio bure kuna kitu kinakusumbua.Japo nilikua natukana ila sio sana mkuu!! Sidhani kama kuna mtu anatukana humu kama alivyokua HR 666, Sergio 5, The List, Padri Mcharo, Gentamycine, na wengineo
Naweza kua nilikua natukana kwa sababu hizi....
1.Kutafuta attention tu kwa watu
2.JF ni sehemu mtu anakuja kutoa chochote anachojisikia ukizingatia hatufahamiani... It seems like it's a place of pouring all your shit that u can't pour it in real life..
3.watu wanaudhi humu hatari kama huwezi kukontroo hisia zaki
Mkuu! Believe me I'm so innocent and Humble sina tabia hiyo kabisa kwenye maisha halisi.. Ndio maana baadae nilirudi kwenye uhalisia wangu wa kutokutukana.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!Watu wanaudhi sana ni kweli, mimi nilishawahi kukutukana au kuku-attack kwa namna yoyote? Nauliza hivi kwasababu ulikuwa unanishambulia hadi nikakuweka ignore list kwasababu nilijua sio bure kuna kitu kinakusumbua.
Hahaha hii comment sijui kwa nini nimecheka hiviKiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Pacha, good morning. Pole kwa kukutukanwa bila sababuWatu wanaudhi sana ni kweli, mimi nilishawahi kukutukana au kuku-attack kwa namna yoyote? Nauliza hivi kwasababu ulikuwa unanishambulia hadi nikakuweka ignore list kwasababu nilijua sio bure kuna kitu kinakusumbua.