JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

mkuu ningependa kurudi nyuma lakini tunashauriwa kutokuangalia wapi tulijikwaa bali tuangakie pale tulipodondokea..Tusonge mbele hakuna kurudi nyuma kwa mantiki hiyo ningependa kwenda mbele (To go to the Future
Seeing your future beforehand...

Don't you think it's a bit scary...?
[emoji33][emoji33][emoji33]

And perhaps you won't live your present well, because all you will be trying is to make your future perfect as we all know life is not always a bed of roses....
 
Da'Vinci
1. Upo open kwenye maisha yako!?. nini faida yake!?
2. Unahisi ukiwa mfanyabiashara sekta ipi utaitendea haki?
3. JF ni lazima iwe kama ilivyo au tuendelee wekewa vifungu zaidi kubana memba?
 
Seeing your future beforehand...

Don't you think it's a bit scary...?
[emoji33][emoji33][emoji33]

And perhaps you won't live your present well, because all you will be trying is to make your future perfect as we all know life is not always a bed of roses....
Dada binaadamu mwenyekujitambua ni yule anayewazia na kuhofia kesho yake itakua vipi!!! Sitaki kuishi present day coz I'll not survive the future. . nataka niishi kesho kwenye maisha ya leo ili nikiwa kwenye maisha ya kesho nisipate Taabu. ukizingatia nimepata tabu maisha ya Jana
 
Okay. kama nimekuelewa...huoni kama ukishaijua kesho yako maisha yatakuwa boring as there is nothing to look forward to.....?
 
Da'Vinci
1. Upim open kwenye maisha yako!?. nini faida yake!?
2. Unahisi ukiwa mfanyabiashara sekta ipi utaitendea haki?
3. JF ni lazima iwe kama ilivyo au tuendelee wekewa vifungu zaidi kubana memba?
●Niko open sana kwenye maisha yangu coz uongo/kudanganya havifungamani nami! And I'm not a threat in this country hadi niogope kuwa muwazi so siwez fake labda ndio maana nashindwa ku copy na maisha ya MMU. Faida yake ni kubwa sana nimeipata kubwaa haiekezeki
●Nikiwa mfanya biashara sekta ya Teknolojia nitaitendea kazi ipasavyo.
●Hapo tutaangalia maslahi ya Wamiliki wa JF sasa kama wataona wakibana memba au kuacha jinsi ilivyo kuna faida basi wafanye kile wanachoona wao ni sahihi.
 
Haya nayabase kwenye dini:
1. Una hisi kulikuwa na ulazima RC kuruhusu charismatic?
2. Nini msimamo wako kuhusu Ujana, ndoa (wake wengi) na utoaji mimba?
3. Ukipewa chance kuwasilisha hoja kwenye Mtaguso wa Kanisa utapeleka hoja gani!?.
4. Unahisi ni sahihi kumpa nguvu kubwa mwanamke kwa uongozi wa kanisa?.
5. Umeshawahi sikia 'euthanasia'? (uhuru kujiua) nini msimamo wako!?.
 
Okay. kama nimekuelewa...huoni kama ukishaijua kesho yako maisha yatakuwa boring as there is nothing to look forward to.....?
Kuwa bored na kutokua bored kutatokana na jinsi mm nilivyoipokea hiyo situati.. In nature nina instict ya kukubali kile kilichonitokea na kusema that is what I deserve! So sidhani kama nitakua bored
 
Haya nayabase kwenye dini:
1. Una hisi kulikuwa na ulazima RC kuruhusu charismatic?
2. Nini msimamo wako kuhusu Ujana, ndoa (wake wengi) na utoaji mimba?
3. Ukipewa chance kuwasilisha hoja kwenye Mtaguso wa Kanisa utapeleka hoja gani!?.
4. Unahisi ni sahihi kumpa nguvu kubwa mwanamke kwa uongozikwwnye anisa?.
5. Umeshawahi sikia 'euthanasia'? (uhuru kujiua) nini msimamo wako!?.
●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.
●Ujana maji ya moto una mapito mengi mno kama usipokua care waweza jutia ukicheza kipindi hiko (sijui kama nimejibu)
Mkuu ndoa ya mtaala kwenye ukristo nakubaliana kua usiruhusiwe maana Tumeumbwa kwa pair tuishi wawili wawili so naunga mkono kua Mke mmmoja ni sahihi.. kwenye kutoa mimba hapana aisee kubali kuvuna kile ulichokipanda maana kile kiumbe kina haki ya kuishi na mwisho ipo siku kitadai haki yake. Ndio maana mtu akitubu dhambi ya kutoa mimba yule mtoto hufanyiwa ubatizo wa imani
●Nitapeleka hoja ya watu wa dini wasijihusishe na siasa bali wawe kama walezi na waonyaji wa wana siasa.
●Si sahihi kumpa madaraka makubwa mwanamke kanisan
●NDIOO
 
Back
Top Bottom