Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seeing your future beforehand...mkuu ningependa kurudi nyuma lakini tunashauriwa kutokuangalia wapi tulijikwaa bali tuangakie pale tulipodondokea..Tusonge mbele hakuna kurudi nyuma kwa mantiki hiyo ningependa kwenda mbele (To go to the Future
.Thanks kaka! Japo naona kifaa nilichotumia kilini Disappoint sana!Umeutendea haki uzi wako mate!.
Dada binaadamu mwenyekujitambua ni yule anayewazia na kuhofia kesho yake itakua vipi!!! Sitaki kuishi present day coz I'll not survive the future. . nataka niishi kesho kwenye maisha ya leo ili nikiwa kwenye maisha ya kesho nisipate Taabu. ukizingatia nimepata tabu maisha ya JanaSeeing your future beforehand...
Don't you think it's a bit scary...?
[emoji33][emoji33][emoji33]
And perhaps you won't live your present well, because all you will be trying is to make your future perfect as we all know life is not always a bed of roses....
Dada binaadamu mwenyekujitambua ni yule anayewazia na kuhofia kesho yake itakua vipi!!! Sitaki kuishi present day coz I'll not survive the future. . nataka niishi kesho kwenye maisha ya leo ili nikiwa kwenye maisha ya kesho nisipate Taabu. ukizingatia nimepata tabu maisha ya Jana
●Niko open sana kwenye maisha yangu coz uongo/kudanganya havifungamani nami! And I'm not a threat in this country hadi niogope kuwa muwazi so siwez fake labda ndio maana nashindwa ku copy na maisha ya MMU. Faida yake ni kubwa sana nimeipata kubwaa haiekezekiDa'Vinci
1. Upim open kwenye maisha yako!?. nini faida yake!?
2. Unahisi ukiwa mfanyabiashara sekta ipi utaitendea haki?
3. JF ni lazima iwe kama ilivyo au tuendelee wekewa vifungu zaidi kubana memba?
Kuwa bored na kutokua bored kutatokana na jinsi mm nilivyoipokea hiyo situati.. In nature nina instict ya kukubali kile kilichonitokea na kusema that is what I deserve! So sidhani kama nitakua boredOkay. kama nimekuelewa...huoni kama ukishaijua kesho yako maisha yatakuwa boring as there is nothing to look forward to.....?
Id ya kwanza Ilikua ina jina languKwa nini ulibadili ID?
Kwa hiyo rafiki nina mashemeji wawili?
Kwa hiyo rafiki nina mashemeji wawili?
Rafiki huendi mbinguni!
mzee wa chura hauna usaili sehemu nikautembelee!?..Rafiki huendi mbinguni!
●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.Haya nayabase kwenye dini:
1. Una hisi kulikuwa na ulazima RC kuruhusu charismatic?
2. Nini msimamo wako kuhusu Ujana, ndoa (wake wengi) na utoaji mimba?
3. Ukipewa chance kuwasilisha hoja kwenye Mtaguso wa Kanisa utapeleka hoja gani!?.
4. Unahisi ni sahihi kumpa nguvu kubwa mwanamke kwa uongozikwwnye anisa?.
5. Umeshawahi sikia 'euthanasia'? (uhuru kujiua) nini msimamo wako!?.