JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.
●Ujana maji ya moto una mapito mengi mno kama usipokua care waweza jutia ukicheza kipindi hiko (sijui kama nimejibu)
Mkuu ndoa ya mtaala kwenye ukristo nakubaliana kua usiruhusiwe maana Tumeumbwa kwa pair tuishi wawili wawili so naunga mkono kua Mke mmmoja ni sahihi.. kwenye kutoa mimba hapana aisee kubali kuvuna kile ulichokipanda maana kile kiumbe kina haki ya kuishi na mwisho ipo siku kitadai haki yake. Ndio maana mtu akitubu dhambi ya kutoa mimba yule mtoto hufanyiwa ubatizo wa imani
●Nitapeleka hoja ya watu wa dini wasijihusishe na siasa bali wawe kama walezi na waonyaji wa wana siasa.
●Si sahihi kumpa madaraka makubwa mwanamke kanisan
●NDIOO
Japo mimi si muuliza swali hiyo namba moja naomba uelezee ni kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
• Huoni charismatic inapingana na maagizo ya kuomba bila kupiga makelele?. je uamsho hauwezi patikana kwa kuomba kimya kimya kama utaratibu wa siku zote?
• Kwa kuzuia ndoa za wake wengi huoni ndio kunachangia dhambi kuwa nyingi kwa waumini wa kikristo sababu ya michepuko?.. Huoni ndoa ya mke mmoja imepitwa kwa sasa?
• Kutoa mimba kuna sababu nyingi lakini moja kubwa ni kutotaka kuleta kiumbe kuja teseka duniani sababu ya mzazi kutojipanga, hasa ukichukulia kanisa halishawishi matumizi ya Condom. Je liruhusu condom?.
 
• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
 
• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
Napenda sana kufahamu sana masuala ya akili inavyofanya kazi.. inanifanya niwe humble na kujitambua mwenyewe mwili na akili yangu hiko ndo kilichonisukuma nisome masuala ya Psychology
• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
Hapana hatuko binaadamu pekee, kuna majini,mapepo, wanyama.. Lakini kuna uvumi wa muda mrefu kua kuna viumbe fulani huko anga za mbali huja kututembelea hapa duniani wengine wanasema wapo tunaishi nao humu tunawaona kama binaadam wenzetu. eti wengine wapo wanashirikiana na wanadamu katika maswala ya teknolojia huko marekani katika eneo linaitwa Area 51
• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
Ndio tuna free will mkuu, lakini ukipima kwa jicho la tatu hiyo free will tuliyopewa ni bortion, kwanini nasema ni bortion? Mungu anasema kua katupa uhuru wa kuchagua kile tunachopenda either kushika sheria zake au kutoshika. lakini mkuu Mungu kaahidi kuweka adhabu kalii kwa wale wasiozishika huku akiwaahidi mema wale walioshika maagizo yake! Hivyo ukiangalia kwa makini watu wengiwanaomwamini wanamwamini kwa hofu ya kuogopa hizo adhabu alizoahidii. kwamantiki hiyo waweza ona kua hakuna exactly free will kama tunavyodhani ila ni hofu ya uoga wa adhabu zake
• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
ningependa nirudi Karne ya kwanza wakati yule binaadamu mwenye kupendwa na wengi akingalipo hapa duniani, naye ni Yesu bin Mariam labda nami ningepata neema ya kuandamana nae wakati wa mafundisho yake
• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
Mkuu wick nikweli kabisa hitler hajafikia kufanya mauaji makubwa kama aliyofanya genghis, Nepoleon au Alexander lakini naweza kua na hoja mbili kuu katika hili
  1. Labda kutokana na kipindi hicho hao wengine wanafanya hivyo nchi bado zilikua hazijaweka umoja wa kusimamia amani au mashirika ya haki za duniani, hivyo watu waliishi vile walivyopenda na kufanya mauaji yale waliyopenda kufanya sababu kulikua hakuna wa kusimamia amani ya dunia ukija wakti wa hitler dunia ilikua imepiga hatua kwa kiasi kikubwa ki mifumo ya utawala,elimu na teknolojia. hivyo kukawepo Mashirika ya kulinda amani na haki za binaadamu Ref. The League of Nation japo hii iliundwa baada ya WW1 lakini ilichangia mno kumfanya Hitler aonekane makosa yake
  2. Kwa watu wa conspiracy wanasema labda Hitler aliyofanya ni mambo yaliyoandaliwa na watu fulani na matokea yaliyopatikana ni mafanikio ya yale waliyopanga (The 13 Illuminati Familly bloodline hasa akina Jp Morgan, Rockerfeller,Rosthchild familly). Wanasema WW1 and WW2 ni ishu iliyopangwa nao ili kupiga hela kwenye biashara na matokea ya vita hizo mpaka leo wanapiga hela
• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
Ndio mkuu kwa mtu asiye na imani thabiti akisoma kitabu cha the davinci code lazima imani yake iyumbe! Kwa kugundua hilo ndio maana kanisa katoliki likaja na kitabu kinachoitwa The davinci code hoax ili kukosoa makosa na uongo ulioko kwenye kitabu hiko
• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
Uongo mwingi alioandika kuhusu kanisa katoliki like kifo cha Carpenicus
 
Da'Vinci tukienda kwenye Filamu:
• Kwanini unampenda Dr. Strange? unapenda uchawi (magic)?.
• Star wars na Star trek ipi ni series bora kwako?
• Ukipewa chance kuigiza sehemu ipi utaitendea haki zaidi?..
• Kwanini mpaka leo tumeshindwa toa filamu kama "Shamba la bibi"?.
• Mchekeshaji bora kwa Tz upande wako ni nani?
• Kigoma mna nini kinachowafanya mdominate Tz mainstream?
• Ipi ni filamu bora kwako kati ya In the Shadow of Kilimanjaro, Prey na The Ghost and the Darkness (Lions of Tsavo).
 
• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
Mkuu una undugu na stephen sackur? 😛
 
Da'Vinci tukienda kwenye Filamu:
• Kwanini unampenda Dr. Strange? unapenda uchawi (magic)?.
• Star wars na Star trek ipi ni series bora kwako?
• Ukipewa chance kuigiza sehemu ipi utaitendea haki zaidi?..
• Kwanini mpaka leo tumeshindwa toa filamu kama "Shamba la bibi"?.
• Mchekeshaji bora kwa Tz upande wako ni nani?
• Kigoma mna nini kinachowafanya mdominate Tz mainstream?
• Ipi ni filamu bora kwako kati ya In the Shadow of Kilimanjaro, Prey na The Ghost and the Darkness (Lions of Tsavo).
● Napenda muvi ya Doctor Strange coz
>Nampenda Benedict Cumberbatch
> > Napenda Effects zilizotumika mle na story yenyewe
>> Napenda funzo lilomo mle kwenye muvi hasa la Time Dimension.
Mkuu naweza sema ndio kwani nimekulia kwenye sehemu yenye uganga na uchawi (Tumewangiwa ssna) ukizingatia nafahamh mschache kuhusu elimu ya uganga.

877b2ef83c77d51dc721db14343ba313.jpg

● Mkuu Star war ndio the best ukiangalia hata Box office yake iko juu kiliko star Trek

●Nikipewa kama kitengo cha kucheza na mitambo kama vile Shuri au Chloe O'brian wa series ya 24hr ukizingatia Taaluma yangu ni Mambo ya Technology
●Mchekeshaji bora kwangu ni Brother K , Masanja, Joti na Agrey Mwanri.
●Tuna mengi mazuri ya kujivunia
> Ziwa refu zaidi duniani lenye samaki wenye madini mikiani mwao na samaki wenye virutubisho bora.
> Mbuga za wanyama na ardhi safi ya kilimo
> vipaji lukuki ambavyo watu wake ndio wanaongoza entertainment industry ya TZ eg Diamond, Mzee majuto, Cristina shusho, Soud brown, ,Mrishompoto, Alikiba nk nk
> Wanasiasa mahiri na viongozi bora mfano Zito, Prof Ndalichako, Philip mpango nk..
Na mengine meeengi.
●The Ghost and Darkness

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Da'Vinci being smart as you are(sikufahamu nasikia Tu) kwanini ulikuwa unapenda kutukana watu?
Japo nilikua natukana ila sio sana mkuu!! Sidhani kama kuna mtu anatukana humu kama alivyokua HR 666, Sergio 5, The List, Padri Mcharo, Gentamycine, na wengineo
Naweza kua nilikua natukana kwa sababu hizi....
1.Kutafuta attention tu kwa watu
2.JF ni sehemu mtu anakuja kutoa chochote anachojisikia ukizingatia hatufahamiani... It seems like it's a place of pouring all your shit that u can't pour it in real life..
3.watu wanaudhi humu hatari kama huwezi kukontroo hisia zaki

Mkuu! Believe me I'm so innocent and Humble sina tabia hiyo kabisa kwenye maisha halisi.. Ndio maana baadae nilirudi kwenye uhalisia wangu wa kutokutukana.

Watu wanaudhi sana ni kweli, mimi nilishawahi kukutukana au kuku-attack kwa namna yoyote? Nauliza hivi kwasababu ulikuwa unanishambulia hadi nikakuweka ignore list kwasababu nilijua sio bure kuna kitu kinakusumbua.
 
Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahaha hii comment sijui kwa nini nimecheka hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom