JF Hard Talk "Da'Vinc"

1. Umesoma shule za private? Nimeuliza kwa sababu inaonekana upo vizuri kwenye English. 2. Unampango wa kujiendeleza kielimu au umeridhika na form four yako?
1. Nimesoma st kayumba toka primary mpaka seko
2. Sijaridhika ila pesa ya kuendelea issue sana
 
Maswali ni konki thread hii inanipa nguvu ya kusoma sana vitabu nakuelewa
 
Umesema watu tumeumbwa kuishi wawili wawili.

Wew ni mkatoliki unaoongeleaje kuhusu mapadre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Instabul kitokana na nature ya kazi za utawa na utumishi wa kujitoa kwa Mungu kama mapadre wakiwa na familia hawataweza kutumikia effectively. Muda mwingi inatakiwa wawe kituoni kwao kutoa huduma na muda mwingine watatkiwa wakakae na familia zao. Hivyo Basi kati ya familia na utumishi kuna kimoja kitapwaya maana huwezi kutumikia mabwana wawili .

Kutokana na hilo uongozi wa RC ukaamua kupitisha sheria ya makasisi kua waseja..Lakini Mungu kaumba watu wazae na kuijaza dunia lakini pia Yesu wakati anaondoka aliwaachia maagizo wanafunzi wao kua kila watakachofungua duniani kwa jina la Mungu na mbinguni kitafunguliwa na kila kitakachofungwa as long as wamekubaliana basi kitafungwa pia mbinguni.
Hivyo basi kwakua walikubaliana kua waseja ili kufanaya kazi ya Mungu basi mbinguni pia inekubaliwa.

Je nimekujibu..?
Umesema watu tumeumbwa kuishi wawili wawili.

Wew ni mkatoliki unaoongeleaje kuhusu mapadre

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujanijibu.

Lakin bado against nature ya watu wameumbwa wawili wawili kama ulivyotaja wew.

Wanawezaje kuabstain na kuitupilia mbali hiyo nature?

Wew ni mwanaume na nimesikia post za mwanzo kuwa uliwahi kujichua na hiyo kitu itakukuta pale utakapo kosa kipozeo cha hisia zinapokuzidi yaan mwanamke.

Sasa hawa mapadre wanaokula,kufanya mazoezi,na kuna muda hawanaga kazi je hisia huzipeleka wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliza uwezavyo mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu linajikita kwenye mambo ya kiroho zaidi
1. Wanadamu wote mara nyingi huwa tunatenda makosa (dhambi) na sisi kama wakristo tunaamini Yesu ndio ondoleo la dhambi zetu na akisamehe huwa akumbuki, je niishala gani ambayo ushawaikuipata ulipotubu au ungama dhambi na ukasema hapa kweli nimesamehewa kosa langu
2. Nini tumaini lako baada ya kufa kwa sasa, moto au uzima wa milele?
 
1.pindi ninapotubu Kinachonifanya niamini kweli nimesamehewa hua najisikia mwepesi sana rohoni halafu nakua nina amani na furaha sana sihofu kitu. (Enlightenment) Tarehe 4 mwezi wa 4 2015 nilitubu ilikua mkesha wa pasaka Nilitoka kanisani nikiwa nina amani tele na sikuogopa kupita kwenye msitu mkubwa ulipo pembeni ya jimbo letu.

2. Mkuu maishani mwangu siku zote hua nina expect worse things wakati nasubiria Best things.. Kwa mantiki hiyo naweza kusema nachukulia 50 kwa 50 % hivyo najitahidi asilimia hizo 50 za kwenda motoni nizipunguze ziende kua peponi. Maana kwenda peponi it's so simpo.. Ni Utii tu!
 
Da vincci inakiappriciate sana

Unazani siku ukipata kitu gani utajiterm kama umefanikiwa?
1. Nikiwa na sehemu yangu ya kukaa na kujimiliki mwenyewe
2. Having kids and Family
3. Kutengeneza mifumo ambayo itasaidia watu wenye uhitaji mbalimbali.
Nikifanikisha haya matatu nitajiona nimefanikiwa..hata nikifa nitakufa sina kinyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…