Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
1. Umesoma shule za private? Nimeuliza kwa sababu inaonekana upo vizuri kwenye English. 2. Unampango wa kujiendeleza kielimu au umeridhika na form four yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Nimesoma st kayumba toka primary mpaka seko1. Umesoma shule za private? Nimeuliza kwa sababu inaonekana upo vizuri kwenye English. 2. Unampango wa kujiendeleza kielimu au umeridhika na form four yako?
Pamoja sana kiongoziNimependq
Una maana gani..?
Fans wa kiba mna matatizo nyieNyie mafans die hard ee? Mnamfata hadi huku ! Atasuffocate bwana.
Samahani mkuu. Natania tu..Tatizo ni iq zetu, zero nimekubali sasa🤣🤣🤣
Maswali ni konki thread hii inanipa nguvu ya kusoma sana vitabu nakuelewa• Nini kishawishi chako kujisomea masuala ya psychology?
• Unahisi binadam tupo peke yetu ulimwenguni?
• Unahisi binadam tuna freewill? kwanini?
• Ukipata chance kutime travel karne ipi ungependa kuitembelea? kwanini?
• Ni makosa yapi ya Adolf hitler iwapo kile kile kilifanywa na Genghis, Mehmed, Napoleone, Alexander etc
• Huhisi davinci code ni kitabu kinachoteteresha imani za waumini wenye imani haba?
• Kwenye Angels & Demons, Dan Brown kapingwa sana, kosa (flaw) moja uliloliona kwenye kitabu chake ni lipi?
Daaah.. Uneniweza sana kiongozi.Mkuu unadhani corona itafika tanzania?
(Jibu kama leo ni 14 February 2020)
Umesema watu tumeumbwa kuishi wawili wawili.●Kuna ulazima sana mkuu Kuwepo kwa Charismatic Ndani ya kanisa katoliki.
●Ujana maji ya moto una mapito mengi mno kama usipokua care waweza jutia ukicheza kipindi hiko (sijui kama nimejibu)
Mkuu ndoa ya mtaala kwenye ukristo nakubaliana kua usiruhusiwe maana Tumeumbwa kwa pair tuishi wawili wawili so naunga mkono kua Mke mmmoja ni sahihi.. kwenye kutoa mimba hapana aisee kubali kuvuna kile ulichokipanda maana kile kiumbe kina haki ya kuishi na mwisho ipo siku kitadai haki yake. Ndio maana mtu akitubu dhambi ya kutoa mimba yule mtoto hufanyiwa ubatizo wa imani
●Nitapeleka hoja ya watu wa dini wasijihusishe na siasa bali wawe kama walezi na waonyaji wa wana siasa.
●Si sahihi kumpa madaraka makubwa mwanamke kanisan
●NDIOO
Umesema watu tumeumbwa kuishi wawili wawili.
Wew ni mkatoliki unaoongeleaje kuhusu mapadre
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ni konki thread hii inanipa nguvu ya kusoma sana vitabu nakuelewa
Nipe sababu za kufuta comment mm nahangaika kushusha majibu kumbe umefutaTatizo ni iq zetu, zero nimekubali sasa🤣🤣🤣
Poa poa nakuelewaga sana mkuuDaaah.. Uneniweza sana kiongozi.
Mkuu Corona inaweza fika kabosa Tz hivyo basi serikali na wananchi tusibweteke.tuchukue Njia za kujikinga mapema kabla haujatufikia
Pamoja sana kiongozi mkulima..Poa poa nakuelewaga sana mkuu
Bado hujanijibu.Mkuu Instabul kitokana na nature ya kazi za utawa na utumishi wa kujitoa kwa Mungu kama mapadre wakiwa na familia hawataweza kutumikia effectively. Muda mwingi inatakiwa wawe kituoni kwao kutoa huduma na muda mwingine watatkiwa wakakae na familia zao. Hivyo Basi kati ya familia na utumishi kuna kimoja kitapwaya maana huwezi kutumikia mabwana wawili .
Kutokana na hilo uongozi wa RC ukaamua kupitisha sheria ya makasisi kua waseja..Lakini Mungu kaumba watu wazae na kuijaza dunia lakini pia Yesu wakati anaondoka aliwaachia maagizo wanafunzi wao kua kila watakachofungua duniani kwa jina la Mungu na mbinguni kitafunguliwa na kila kitakachofungwa as long as wamekubaliana basi kitafungwa pia mbinguni.
Hivyo basi kwakua walikubaliana kua waseja ili kufanaya kazi ya Mungu basi mbinguni pia inekubaliwa.
Je nimekujibu..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu linajikita kwenye mambo ya kiroho zaidi
1.pindi ninapotubu Kinachonifanya niamini kweli nimesamehewa hua najisikia mwepesi sana rohoni halafu nakua nina amani na furaha sana sihofu kitu. (Enlightenment) Tarehe 4 mwezi wa 4 2015 nilitubu ilikua mkesha wa pasaka Nilitoka kanisani nikiwa nina amani tele na sikuogopa kupita kwenye msitu mkubwa ulipo pembeni ya jimbo letu.Swali langu linajikita kwenye mambo ya kiroho zaidi
1. Wanadamu wote mara nyingi huwa tunatenda makosa (dhambi) na sisi kama wakristo tunaamini Yesu ndio ondoleo la dhambi zetu na akisamehe huwa akumbuki, je niishala gani ambayo ushawaikuipata ulipotubu au ungama dhambi na ukasema hapa kweli nimesamehewa kosa langu
2. Nini tumaini lako baada ya kufa kwa sasa, moto au uzima wa milele?
1. Nikiwa na sehemu yangu ya kukaa na kujimiliki mwenyewe