JF Hard Talk "Da'Vinc"

Nice words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akufanikishe yote uyaombayo kwa imani na moyo mkunjufu
1. Nikiwa na sehemu yangu ya kukaa na kujimiliki mwenyewe
2. Having kids and Family
3. Kutengeneza mifumo ambayo itasaidia watu wenye uhitaji mbalimbali.
Nikifanikisha haya matatu nitajiona nimefanikiwa..hata nikifa nitakufa sina kinyongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna application yoyote ambayo inaweza kunisaidia kusoma vitabu especially vya saikolojia?!

NB:kuna kitabu kinaitwa "how to control mind and stress free" kimeandikwa na mhindi(simukumbuki jina) nilikisoma kwa mwalimu o level bahati mbaya sikukimalizia.Ndio maana nmekuja kwako kuulizia app. Ya kusoma au kupakua vitabu ili nkimalizie(mwalim aligoma kuniazma mwaka ule so sikumalizia)
 
Pia mkuu nilikuwa naomba kitu kimoja mimi kama follower na fan wako.
Nilishituka sana nilivoona sasa ivi na wewe unabisha na kufungua nyuzi kabisa rahisi rahisi za kina Ali kiba na Diamond, mkuu yale mambo nilikuwa naomba uwaachie kina robidinyo na wenzake yaan huendan nayo kabsa na wala haya kufit, iliniskitishaa
Huko MMU waachie kina zero IQ , watu kama nyie ndo mmefanya tukafungua account JF , dont dissapoint us anymore please

WE NEED OUR DA'VINCI BACK
 
Mkuu unadhani corona itafika tanzania?
(Jibu kama leo ni 14 February 2020)
Moja kati ya mafumbo makubwa sana hapa jamvini huwa ni ID's za watu, ID hizi mbali ya kuwatambulisha membaz lakini pia hubeba maana fulani.mojawapo ni hii ya miminimkulimaakachekasana ina utata mwingi ambao pamoja na kujaribu kumuuliza muhusika sina hakika kama alishawahi kujibu, Da Vinci kama Da Vinci kwa muono wako na fikra zako tu za haraka haraka unafikiri maana yake hasa ni ipi? Da'Vinci

.
 
Umesoma Kayumba na hukufanikiwa kufika A-level ukidai ya kwamba ulifeli kidato cha nne(kwa mujibu wako), Je kipi hasa kimeweza kukusaidia kumudu Lugha ya kiingereza katika kiwango kinachoridhisha?
Maana wanakayumba twazijua vizuri shule zetu.
 
Kwa jina lake hilo the first day naliona nilisema kua "inwezekana kuna mtu alimpenda akamwambia hisia zake za upendo na kumueleza shughuli inayompatia kipata ambayo ni kilimo. So mdada huyo akamcheka labda kutokana na class yake hawezi kua na mkulima (mdogo) so hiyo disappointment ikabaki kichwani mwa huyu mshikaji wa humu. Ndio maana ikabidi atumie as id"
 
Umesoma Kayumba na hukufanikiwa kufika A-level ukidai ya kwamba ulifeli kidato cha nne(kwa mujibu wako), Je kipi hasa kimeweza kukusaidia kumudu Lugha ya kiingereza katika kiwango kinachoridhisha?
Maana wanakayumba twazijua vizuri shule zetu.
Kinachofanya nimudu English Vizuri..
  • English ndio somo nilikua nalipenda kuliko primary. Nikiwa Darasa la 3 nilikua najua kwa kiasi kikubwa lugha hii ambayo ni nadra sana kwa wanafunzi wa st kayumba. Sijawahi feli English ni somo ambalo nalifaulu bila kusoma (Literature ndio nasoma). Hi imenifanya walimu wangu wa English (Alikua mkuu ) toka primary kua rafiki yangu sana, Secondary walimu wa English walikua wananipenda maana nilikua naongoza katika somo hili.
  • Muvi na vitabu ndio vinanifanya ni panue kingereza changu. Muvi zinamsaada mkubwa katika kukuza English yangu
  • Hili ndio kubwa zaidi..Aina ya Akili yangu ni Akili inayonasa vitu vipya kwa haraka hasa Upande wa Lugha. Kwa mujibu wa saikolojia akili yangu inauwezo mkubwa wa kushika lugha mpya (Hii ipo kwa watoto zaidi ila naona kwangu ipo) ndio maana naweza shika lugha mpya haraka. Najua lugha zingine pia
Mkuu kuna kitu naandika kinahusu watu wenye uwezo mkubwa kiakili wanavyoweza kufeli shule. Ila kichwani wapo very smart. Ni Psychological zaidi
 
Mimi hua natumia App hii kupata vitabu mbalimbali..Hata kama unahitaji Novel zile kuubwa kama A game of thrones unapata hapo..
Hiyo niliyozungushia duara..Ebook reader

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemrudisha Davinci wenu wa zamani. Samahanini kwa kuwavunja moyo..Nataka nianze kurudi JF Intelligence na kuanzia leo huko ndio nitakuaepo zaidi kama ilivyokua mwanzo.
Samahanini sana kuwavunja moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…