Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Nice words1.pindi ninapotubu Kinachonifanya niamini kweli nimesamehewa hua najisikia mwepesi sana rohoni halafu nakua nina amani na furaha sana sihofu kitu. (Enlightenment) Tarehe 4 mwezi wa 4 2015 nilitubu ilikua mkesha wa pasaka Nilitoka kanisani nikiwa nina amani tele na sikuogopa kupita kwenye msitu mkubwa ulipo pembeni ya jimbo letu.
2. Mkuu maishani mwangu siku zote hua nina expect worse things wakati nasubiria Best things.. Kwa mantiki hiyo naweza kusema nachukulia 50 kwa 50 % hivyo najitahidi asilimia hizo 50 za kwenda motoni nizipunguze ziende kua peponi. Maana kwenda peponi it's so simpo.. Ni Utii tu!
Sent using Jamii Forums mobile app