JF Hard Talk "Da'Vinc"

[QUOTE="Da'Vinci
1;Who are you? And what you are good at?
2;if you have been given a chance to develop something,would you prefer to develop skills or develop people?, And why???


NB: I'd like to challenge you along the way,and help you become more mindful. But if you'll allow me to do that,you might also allow me to ask the tough questions and suggest actions that may seem tedious or make you a little uncomfortable.

If I were sitting next to you,I'd ask permission to push you and challenge you and demand that you give your all. If you'll agree I will have no doubt that you're ready for the journey.
 
Lugha iliyotumika sio rafiki kwangu japo nakuelewa 😀😀
1. I'm No One.. Jibu lako nitakujibu fasaha kutokana na wewe unataka kunifahamu katika aspect ipi. Kwa Ujumla Mimi ni Kusudi.
I'm Good in Thinking!
2.Notapenda kudevelop skills kisha hizo skills nizitumie kudevelop watu. Huwez develop watu bila skills. That's my Ambition

Strong Agreed with all your Demands
Ask n Challenge me as you wish
 
Nimefuatilia post zako sana na comments zako mda mrefu sana na nilichokuja kugundua ni nkivuta taswira yako I see me, yaan we share same experience(personal).kwaivyo kila swali ukiona nmekuulza personal ujue nimejiulza pia mimi even umri pia tupo same.
 
Inapendeza kumpata Mtu unaefanana nae..Safi.
Haya hebu uliza tuone..
 
Inapendeza kumpata Mtu unaefanana nae..Safi.
Haya hebu uliza tuone..
1;Nini unafanya kwako mwenyewe kipindi unapo...
(a) kuwa na Shaka.
(b) katishwa tamaa.
(c) shindwa na kitu.

2;kipi kinakufanya ujiamini,na unafanya nini ili kurejea kwenye kujiamini kwako unapoitaji?

3;unatumia njia gani/zipi kushugulika na watu wengine katika maisha yako ambao...
(a) wanaokuunga mkono.
(b) wasiokuunga mkono.

4; Ni tabia/vitendo gani vinakufanya uwe na furaha??

Jibu Ayo Kwanza ndipo zingine zifuate.
 
Shukran mkuu, naamini maswali mengi yameshaulizwa.
Lakini nini maoni yako katika hili, Je, Mungu anauoongoza ulimwengu in real time au unauongoza kupitia kanuni alizoziweka wakati ulimwengu unaumbwa.?
Kuna post naandika kuhusu muda soon nitajibu hilo. Ila Kanuni zinafanya kazi zaidi.
Kwenye hio post nitaelezea kwa undani
 
What are your personal goals ?

What kind of childhood did you have ?

What makes you insecure ? ...
1.My Personal Goals..
  • Kua na changu binafsi/Kwangu.
  • Kua na Familia na watoto, Napenda sana Girls. Kumlea na kumtunza Mungu wangu wa Duniani MAMA.
  • Kuweka Vituo na system za kusaidia kila mwenye shida Hasa watoto na wanawake. (Napenda kuona Ke wakiwa wanaishi bila kutegemea wanaume)
2. My Childhood were pretty miserable..Very Hard.
3.●Childhood yamechangia kua hivo. Imagine na ukubwa huu mtu anaweza labda kuja kuongea kitu nami nikahisi anataka kunipiga. Najikunyata kabisa..Au nikifanya kosa ili nijue nimesamehewa mpaka mtu anipige ndio naona nimesamehewa. Hayo yote yanasababishwa na sababu #2 Kuona kuaminishwa kila Kitu inafaa upigwe.

●Uumbaji wa Mungu..Naye anachangia ukubwa wote huu siwezi ongea mbele ya watu..Aibu kibao kuliko hata wenzetu.(Siwezi tembea nimeunua kichwa juu)
 
Ooh I'm glad reading this from you
May our good Lord grant you what you desire .

Family is everything pole na uliyopitia wakati unakua pia usikate tamaa
 
Nikiwa nashaka sana Hua najiambia maneno yangu ya kujipa matumani..Nakitumia Kitabu cha muhubir na Methali vizuri.
●Nikikatishwa Tamaa Hua nalia.
●Nikishindwa kitu hua najiambia kitu hiko haikua riziki yangu. Kipo kingine kizuri zaidi kinakuja
2. Sijiamini Kabisa. Kwanza naokopa kujiamini maana kunaponza
3.●Ninawaheshimu sana maana hua nawachukulia kama Heaven sent
●Hua sijali lolote kwangu. Unichukie sawa..sitegemei kupendwa/kuungwa mkono.
With or without you I shine
4●Kuimba kwaya (Japo sijui vizuri) kuangalia muvi na muziki ndio hunipa furaha.
●Ila hua nikisaidia watu wenye shida hua napata fura kuu (Inner happiness).ndio maana natamani niweze kufanikisha kuwasaidia watu wenye uhitaji..huko ndio furaha yangu ilipo.
Soma zaidi..bandiko zangu hizi utaelewa
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1691513/
The Inner peace, hii ndio furaha ya kweli jifunze sasa maisha yako yawe ya furaha siku zote.. - JamiiForums
Compassion: Somo maalumu la kuwa na Huruma - JamiiForums
 
Daaa mkuu upo vizuri kujibu maswali na enjoy a lot kuwa fans wako itabidi utoke kweny haya majukwa ya mmu sijui na celebrities kwa kina Spartacus the mnyama mkali na inno ni muda Sasa umefika wa kurudi home

Intelligence huko ndio na mpata da Vinci ambae kila nikimsoma bandiko lako nachukua note book Ku note down some hints
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…