Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Pamoja sana mkuu...Barikiwa zaidi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu...Barikiwa zaidi mkuu
Lugha iliyotumika sio rafiki kwangu japo nakuelewa 😀😀1;Who are you? And what you are good at?
2;if you have been given a chance to develop something,would you prefer to develop skills or develop people?, And why???
NB: I'd like to challenge you along the way,and help you become more mindful. But if you'll allow me to do that,you might also allow me to ask the tough questions and suggest actions that may seem tedious or make you a little uncomfortable.
If I were sitting next to you,I'd ask permission to push you and challenge you and demand that you give your all. If you'll agree I will have no doubt that you're ready for the journey.
Karibu uulize mkuuMimi ni mpenzi mtazamaji wa hii show.
Nimefuatilia post zako sana na comments zako mda mrefu sana na nilichokuja kugundua ni nkivuta taswira yako I see me, yaan we share same experience(personal).kwaivyo kila swali ukiona nmekuulza personal ujue nimejiulza pia mimi even umri pia tupo same.Lugha iliyotumika sio rafiki kwangu japo nakuelewa 😀😀
1. I'm No One.. Jibu lako nitakujibu fasaha kutokana na wewe unataka kunifahamu katika aspect ipi. Kwa Ujumla Mimi ni Kusudi.
I'm Good in Thinking!
2.Notapenda kudevelop skills kisha hizo skills nizitumie kudevelop watu. Huwez develop watu bila skills. That's my Ambition
Strong Agreed with all your Demands
Ask n Challenge me as you wish
[emoji122]Nimemrudisha Davinci wenu wa zamani. Samahanini kwa kuwavunja moyo..Nataka nianze kurudi JF Intelligence na kuanzia leo huko ndio nitakuaepo zaidi kama ilivyokua mwanzo.
Samahanini sana kuwavunja moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Any Questions so far madame
Inapendeza kumpata Mtu unaefanana nae..Safi.Nimefuatilia post zako sana na comments zako mda mrefu sana na nilichokuja kugundua ni nkivuta taswira yako I see me, yaan we share same experience(personal).kwaivyo kila swali ukiona nmekuulza personal ujue nimejiulza pia mimi even umri pia tupo same.
What are your personal goals ?Any Questions so far madame
1;Nini unafanya kwako mwenyewe kipindi unapo...Inapendeza kumpata Mtu unaefanana nae..Safi.
Haya hebu uliza tuone..
Shukran mkuu, naamini maswali mengi yameshaulizwa.Karibu uulize mkuu
Kuna post naandika kuhusu muda soon nitajibu hilo. Ila Kanuni zinafanya kazi zaidi.Shukran mkuu, naamini maswali mengi yameshaulizwa.
Lakini nini maoni yako katika hili, Je, Mungu anauoongoza ulimwengu in real time au unauongoza kupitia kanuni alizoziweka wakati ulimwengu unaumbwa.?
1.My Personal Goals..What are your personal goals ?
What kind of childhood did you have ?
What makes you insecure ? ...
Ooh I'm glad reading this from you1.My Personal Goals..
2. My Childhood were pretty miserable..Very Hard.
- Kua na changu binafsi/Kwangu.
- Kua na Familia na watoto, Napenda sana Girls. Kumlea na kumtunza Mungu wangu wa Duniani MAMA.
- Kuweka Vituo na system za kusaidia kila mwenye shida Hasa watoto na wanawake. (Napenda kuona Ke wakiwa wanaishi bila kutegemea wanaume)
3.●Childhood yamechangia kua hivo. Imagine na ukubwa huu mtu anaweza labda kuja kuongea kitu nami nikahisi anataka kunipiga. Najikunyata kabisa..Au nikifanya kosa ili nijue nimesamehewa mpaka mtu anipige ndio naona nimesamehewa. Hayo yote yanasababishwa na sababu #2 Kuona kuaminishwa kila Kitu inafaa upigwe.
●Uumbaji wa Mungu..Naye anachangia ukubwa wote huu siwezi ongea mbele ya watu..Aibu kibao kuliko hata wenzetu.(Siwezi tembea nimeunua kichwa juu)
Nikiwa nashaka sana Hua najiambia maneno yangu ya kujipa matumani..Nakitumia Kitabu cha muhubir na Methali vizuri.1;Nini unafanya kwako mwenyewe kipindi unapo...
(a) kuwa na Shaka.
(b) katishwa tamaa.
(c) shindwa na kitu.
2;kipi kinakufanya ujiamini,na unafanya nini ili kurejea kwenye kujiamini kwako unapoitaji?
3;unatumia njia gani/zipi kushugulika na watu wengine katika maisha yako ambao...
(a) wanaokuunga mkono.
(b) wasiokuunga mkono.
4; Ni tabia/vitendo gani vinakufanya uwe na furaha??
Jibu Ayo Kwanza ndipo zingine zifuate.
Thanks for your wish.Ooh I'm glad reading this from you
May our good Lord grant you what you desire .
Family is everything pole na uliyopitia wakati unakua pia usikate tamaa
Stay strong !!Thanks for your wish.
Nishapoa..
Nawe piaStay strong !!