JF Hard Talk "Da'Vinc"

Ulishafika nchi ipi ya East Africa na je ina kipi ambacho sisi Tanzania inabidi tujifunze kutoka huko?

Proverb 3:5-6
●Burundi
Hawa mabingwa aseee sio waoga na niwathubu sana hawapelekwi kindezi na serikali kama tulivyo. Tujifunze kutoiogopa serikali ipo kututumikia ikihitajika nguvu kutolewa itolewe. Hakuna cha kuogopa
●Zanzibar
Hawa majamaa na madhaifu yao napenda tu walivyo social sana yaani maji buure kokote pale, Kitu ukiomba unapewa ilimrad uombe tuu. Japo kuna kaubaguzi kama sio mwislam
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Inanisaidia kujieleza bila shida ya kumwogopa mtu yoyote imagine namtukana mtu wa miaka 50 huku hanijui simjui.. so nakua na wigo wa kujieleza zaidi bila wasiwasi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kutukana hapana. Sijakulea hivyo hata kama unatumia id fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani ulihitaji maishani mwako ila unahisi hautokuja kukipata kwa hali uliyo nayo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nachohisi sitakuja kupata ni Huruma na Upendo kwa Binaadamu wotee..
Yaani namaanisha natamani binaadamu wote Tupendane tusaidiane.. tuwe na huruma bahati mbaya dhnia nayoitaka haipo hivo na haitokua hivo

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nini matarajiyo yako ya baadaye kielimu na hata kuweka historia kwenye dunia hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
●Natamani nitengeneze platform au NGOs ambayo itawasaidia vijana kuwa na ari ya kujifunza na kujisomea ili kupata maarifa
●Natamani niweke tabasamu kwa watu duniani kwa kuwasaidia kukabiliana na shida zao za kimaisha hasa ajira. Na nitabezi zaidi kwa wasichana maana ndio wenye changamotoo zaidi.


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Oohh hapo kwenye tabasamu nakutakia kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…