JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

Sitaki niongee sana ila hizi ndio nilizozipakua na ninazozitumia sana..
960008d7a83baa2b78230884befa15e1.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Okey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema bro??

Kwani kuna kipi kibaya MMU?
Kwema mkuu!! Mmu hakuna ubaya! Ubaya na uzuri wa mmu upo machoni kwa mtu na kila mtu ana kilicho mvutia hapa JF. Upande wangu naona JF ni mbaya kwa madogo wa 20yrs JF kwani ni sehemu kuna mijadala ya mapenzi so sioni kama kutamfaa dogo anayejitaji kujenga maisha yake kwanza kwa kutafuta elimu!!
Lakini pia JF hasa jukwa la mmu ni sehemu unayoweza kukuta waigizaji weeengiii sana wasioenda Location.
Je nimekujibu??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu
Nitamsahauri ajiunge haraka ila nitataka kujua nini kimempendeza huku.. kama kavutiwa na MMU siwezi mshauri hata kidogo. Natamani vijana wote waje JF ila sio MMU

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapo hapo kwenye MMU kuna mambo gani ambayo hayaja kawa sawa sijui amelenga jinsia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema mkuu!! Mmu hakuna ubaya! Ubaya na uzuri wa mmu upo machoni kwa mtu na kila mtu ana kilicho mvutia hapa JF. Upande wangu naona JF ni mbaya kwa madogo wa 20yrs JF kwani ni sehemu kuna mijadala ya mapenzi so sioni kama kutamfaa dogo anayejitaji kujenga maisha yake kwanza kwa kutafuta elimu!!
Lakini pia JF hasa jukwa la mmu ni sehemu unayoweza kukuta waigizaji weeengiii sana wasioenda Location.
Je nimekujibu??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nmekuelewa mkuu,kwa hyo unataka kusema ww pia sio mdau wa mmu,baada ya kugundua kule kuna maisha ya kuigiza?
 
Kwema mkuu!! Mmu hakuna ubaya! Ubaya na uzuri wa mmu upo machoni kwa mtu na kila mtu ana kilicho mvutia hapa JF. Upande wangu naona JF ni mbaya kwa madogo wa 20yrs JF kwani ni sehemu kuna mijadala ya mapenzi so sioni kama kutamfaa dogo anayejitaji kujenga maisha yake kwanza kwa kutafuta elimu!!
Lakini pia JF hasa jukwa la mmu ni sehemu unayoweza kukuta waigizaji weeengiii sana wasioenda Location.
Je nimekujibu??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mimi sijaridhika japo si muuliza swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika utawala wa raisi wetu mpendwa umevutiwa na kitu gani kutokana na anayoyafanya na kipi kinakuchukiza na kama ukipata nafasi ya kuonana nae utamwambia kua hiki sio poa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukwel kabisa naunga mkono juhudi za muheshimiwa!! Namkubali kwa 65% nimependa alivyoleta usawa nchini wote hakuna mkubwa. Lakini kama nikikutana nae nitamwambia ajirekebishe sehemu hizi ambazo ananiboa sanaaa..
●Ana inferiority Complex yaani rais wetu anajiamini kwa kiasi kikubwa mnooo na kapitiliza. Anajiona yeye ndio bora kwa kile alichoamua kufanya. Namshauri akubali kukosolewa na asikilize ushauri.
●Asiminye uhuru wa kujieleza na Demokrasia. Asihangaike na watu wa mitandaaoni adili na Mambo muhimu ya nchi
●Raisi wetu sio mwana diplomasia ajitahidi awaone wataalam wa diplomasia like JK, Mahiga, Lowasa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kea maoni yako, kutumia ID feki humu JF kunasaidia nini? (Nadhani hata wewe hiyo ID yako ni feki!)

Sent using Jamii Forums mobile app
Inanisaidia kujieleza bila shida ya kumwogopa mtu yoyote imagine namtukana mtu wa miaka 50 huku hanijui simjui.. so nakua na wigo wa kujieleza zaidi bila wasiwasi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kiukwel kabisa naunga mkono juhudi za muheshimiwa!! Namkubali kwa 65% nimependa alivyoleta usawa nchini wote hakuna mkubwa. Lakini kama nikikutana nae nitamwambia ajirekebishe sehemu hizi ambazo ananiboa sanaaa..
●Ana inferiority Complex yaani rais wetu anajiamini kwa kiasi kikubwa mnooo na kapitiliza. Anajiona yeye ndio bora kwa kile alichoamua kufanya. Namshauri akubali kukosolewa na asikilize ushauri.
●Asiminye uhuru wa kujieleza na Demokrasia. Asihangaike na watu wa mitandaaoni adili na Mambo muhimu ya nchi
●Raisi wetu sio mwana diplomasia ajitahidi awaone wataalam wa diplomasia like JK, Mahiga, Lowasa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
That is you. Are you you[emoji16][emoji16] umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana vijana wa kitanzania ni wavivu yaani hawapendi kujituma je ni kweli? Unadhani ni kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu..
Uvivu ni necha ya mtu na nikweli kabisa watu wa Tanzania tuna asili ya uvivu ukiringanisha na wenzetu kenya.
Tu watu wa kuridhika mapema mno

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom