Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Kijana ongera Sana una uwezo mkubwa.
Je uwezo na maarifa ulio nayo yanakusaidiaje kwenye Maisha yako ya sasa? Vitabu unavyo soma na vitu unavyo fanya kila siku vya kukufanya ufikilie vina impact gani kwenye Maisha yako ya sasa?
-Nime kuuliza ivo kwa sababu nami ni kijana wa lika lako miaka yangu si zaid ya 21 kuna wakati nilipenda sana mambo ya computer especially coding nalifanya sana tena kwa uwezo mkubwa tu(c++ lugha yangu pendwa) baadae niliviweka pembeni hayo mambo kwa kuwa sikuona faida yake kwenye maisha yangu ya baadae japo nilifanya kwa uwezo mkubwa..
Je wewe vitu vinavyo chukua sehem kubwa ya muda wako kwa sasa ndio future yako hapo baadae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sna mkuu wangu..
Maarifa niliyonayo yamenisaidia kujitambua na kutambua mazingira na watu wanaonizunguka..pia maarifa haya yamenikutanisha na watu wengi ambao wanamchango mkubwa kwenye maisha yangu
●Sina Shughuli maalumu nayofanya..Napenda kujisomea na vitabu nilivyosoma vina impact sana kwenye maisha yangu coz vimeniongezea maarifa meengi pia vimenikutanisha na waandishi humu nchini.
●Actually napenda coding mkuu ndio kitu ninacho concentrate nacho.. pole labda haikua chaguo lako but for me Computers ni ndoto yangu ya muda mrefu
●Yaaa muda mwingi nautumia Kusoma mwingine natumia kupitia funny memes fb ili kujiburudisha na humu JF.
Computer its ma future
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk