Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Ahsante sana mkuu kwa kunikubali..it means a lot to me. Nishatoka huko mkuu,Una swali.?Daaa mkuu upo vizuri kujibu maswali na enjoy a lot kuwa fans wako itabidi utoke kweny haya majukwa ya mmu sijui na celebrities kwa kina Spartacus the mnyama mkali na inno ni muda Sasa umefika wa kurudi home
Intelligence huko ndio na mpata da Vinci ambae kila nikimsoma bandiko lako nachukua note book Ku note down some hints