JF Hard Talk "Zitto junior"

Umesema kuwa ndio umeanza rasmi darasa la biblia...,

Je,kabla ya hapo ulikuwa unasali kanisa gani..????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemnukulu Martin Luther...,Je unaweza ni link au kitabu ulichomnukulu Luther..???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maana itabaki pale pale, kwamba alitaka tufanye hivo kwa kula na kunywa mkate na divai na sio kwa

Na sio kwa kumkata Yesu kwa ajili ya nyama na damu..
Ndio maana ukaitwa ishirika.View attachment 1007123

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaongelea mambo ya meza ya Bwana hapa nimekuuliza aliposema wale NYAMA yake alimaanisha nini?? Hayo ya ushirika yalikuja akiwa na wanafunzi wake alipokaribia kufa ndio akawapa hilo agizo.

Au unamaanisha Yesu aliwaambia atakayekula Meza ya bwana ndio atapata wokovu?? Yaani wakila kumbukizi ilihali akiwa hai?? Are you serious bro.

Yeye aliwaambia wale muda ule sio kumbukizi.... Wanafunzi waliambiwa wafanye kumbukizi sababu atakuwa hayupo sasa kivipi yupo awaambie wale KUMBUKIZI!

Na ili ugundue bado unachanganya madesa unafkiri paulo anaposema mkate na divai basi anamaanisha meza ya Bwana ya kimwili itakufikisha mbinguni..... Wapagani wangapi wana dhambi wanashiriki ina maana itawapeleka mbinguni/kuwatakasa??

Kama ni hivo basi kumbe hata hapa Paulo alikuwa anaombwa MAZIWA na washirika wake??

12...... mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.
13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
14 Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.
 
Mkuu imeandikwa nyama au imeandikwa mwili????
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kuwa ndio umeanza rasmi darasa la biblia...,

Je,kabla ya hapo ulikuwa unasali kanisa gani..????

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninasali makanisa ya kiprotestant na Biblia nilikuwa naisoma sana tu ila nilikuwa natafsiri KIMWILI kama wakristo wengi humu JF ila kwa sasa nimejikita kujifunza Lugha ya mafumbo ya Biblia ili kuyaelewa maandiko yote katika lugha ya mafumbo ndio maana jana nilimuuliza mkuu Suriya Biblia inaposema mpinga kristo akija wakimbilie mlimani alimaanisha nini

Yye alijibu kwa akili zake ilihali Mlima una maana ya kiroho kwenye Bible sasa vitu kama hivo usipoenda darasa la theolojia utaishia potoshwa tu na manabii uchwara
 
Duuuu na wew unachanganya mafaili kinoma

walipo ongela chakula kigumu na kilaini, walimaanisha neno la mungu ndio.
Na ndio maana hakuna mahali wameandika kunywa divai.

Lakini huku kwa yesu hawajatumia neno chakula.

Wametumia neno kuula mwili wake na kuinywa damu yake.

Neno chakula likisimama kama neno la Mungu, haimaanish kila mahali utakapokuta neno chakula basi ujue ni Neno la Mungu.
Mkuu imeandikwa nyama au imeandikwa mwili????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemnukulu Martin Luther...,Je unaweza ni link au kitabu ulichomnukulu Luther..???

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipotafsiri Biblia yake kutoka latin kwenda kijerumani kwenye DIBAJI ndio aliandika hayo maneno ambayo yakitafsiriwa kingereza yanasema

"Apocrypha, that are books which are not considered equal to the Holy Scriptures, but are useful and good to read."
 
Sasa hapa na ww unachanganya madesa kwahiyo wakisema chakula haimaanishi neno ilihali wewe unasema MWILI na DAMU inamaanisha meza ya bwana

Sasa na mini nikisema sio kila sehemu divai na mkate inamaanisha meza ya bwana unasemaje??

Mkuu be objective
 
Ukiongerea kushiri meza ya bwana, ndio kuna mahusiano na mkate na divai

Lakini ukisema mahali wameandika neno chakula hilo ni swala jengine kabisa wala halfanani na hilo la apo juu.
Sasa hapa na ww unachanganya madesa kwahiyo wakisema chakula haimaanishi neno ilihali wewe unasema MWILI na DAMU inamaanisha meza ya bwana

Sasa na mini nikisema sio kila sehemu divai na mkate inamaanisha meza ya bwana unasemaje??

Mkuu be objective

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuandika neno fresh kwenye dictionary imeleta maana yake ni Mwili.View attachment 1007375

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tunabishana tafsiri ya NENO au MUKTADHA?? Sasa nyama si sehemu ya mwili and vice versa !!

Nachotaka uelewe biblia ni figurative ila ww umeshaamua kuamini unachoamini siwezi lazimisha ubadilike so mie naishia hapa
 
Hivi tunabishana tafsiri ya NENO au MUKTADHA?? Sasa nyama si sehemu ya mwili and vice versa !!

Nachotaka uelewe biblia ni figurative ila ww umeshaamua kuamini unachoamini siwezi lazimisha ubadilike so mie naishia hapa
Ndio bible iko hivo kama usemavyo.

Lakini sio bible nzima, hadi ikufanye wew ukatafute maana ya neno hadi neno...labda

Tenda haki- na wew unaenda kung'ang'na kutafuta neno tenda haki kamaanisha nini wakati neno linajieleza wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida unabisha alafu hauna alternative ndio maana nashindwa elewa wafia dini wa JF sasa unakataa hakuna mafumbo ikimaanisha biblia inaeleweka kama ilivyo basi nisaidie hapa Yesu alimaanisha nini??

Yohana 9
39 Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.

Sasa hili sio fumbo?? Je Yesu alitufanya vipofu?? Sasa kwanini akisema mkate unadai ni huu wa kimwili ila alisema vipofu je ni wa kimwili pia?? Na je maana ya kipofu tuitoe wapi maana unasema mistari inajieleza yenyewe!!

Choice is yours
 
Mwili ni mwili na nyama ni nyama,
Two different things.

Sent using Jamii Forums mobile app


Tuache bishana irrelevance jibu swali je alipokuwa kilimani alitaka mkutano ufanye tukio la kumbukizi yake miaka 3 kabla hajafa?? Yaani wanywe meza ya bwana ilihali Yesu yupo hai for the next 3 years?? Alafu akikaribia kufa ndio anaishiriki kwa mara ya kwanza!! Kwahiyo aliwaita watu waje mikutanoni kwake wale nyama yake alafu hiyo nyama ndio anakuja kuwaambia wanafunzi wake pekee tena alipokaribia kufa kwamba ni MEZA YA BWANA!!

Does it make sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…