Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kuwa ndio umeanza rasmi darasa la biblia...,Mkuu siamini dhehebu litatupeleka mbinguni ila nmejikita zaidi mwaka huu kujifunza maandiko (ndio nimeanza darasa rasmi la Biblia) ili nijisimamie kiroho mwenyewe otherwise madhehebu yote yapo sawa tu kikubwa Watende matendo mema na kumtegemea Mungu mengine ni "mbwembwe " tu
Umemnukulu Martin Luther...,Je unaweza ni link au kitabu ulichomnukulu Luther..???Shida yako hunielewi kabisa nimeshaweka msingi kwamba maneno yote ya Biblia yana maana ndani ya Biblia hili umekubali maana na ww naamini umepotoka
Nilichosema kuhusu nje ya Biblia sio mpaka yawe mafumbo bali ili kuelewa kitu kwa muktadha wake kwa undani zaidi hasa kama biblia hakijaieleza vizuri na ndio maana hata Yuda na timotheo wamemcite Book of enoch!! Sasa ina maana ww unajua maandiko kuliko Yuda na paulo??
Kingine nje ya Bible sio upotoshaji bali kuna vitabu vimetambuliwa na Bible na kuna makanisa yanavitumia mfano book of enoch na Book of jasher so ikiwa kanisani kwako ni NJE YA BIBLIA basi tambua makanisa mengine na NDANI YA BIBLIA.
Narudia tena Hakuna kitabu ambacho nimewahi jengea humu hoja JF ambacho hakuna kanisa ambalo linakitumia.... Vitabu vyote navyotumiaga ambavyo kwako unasema Ni nje ya biblia huwa ni ndani ya biblia kwa makanisa mengine so usilazimishe Canon ya Biblia yako ndio iwe sahihi hauwi objective.
Namalizia kwa kumnukuu martin luther aliyesema Apocrypha ingawa sio part ya bible ila ni VIZURI KWA MAFUNDISHO
So ina maana martin luther hajui Biblia!!
Sijaongelea mambo ya meza ya Bwana hapa nimekuuliza aliposema wale NYAMA yake alimaanisha nini?? Hayo ya ushirika yalikuja akiwa na wanafunzi wake alipokaribia kufa ndio akawapa hilo agizo.Mkuu maana itabaki pale pale, kwamba alitaka tufanye hivo kwa kula na kunywa mkate na divai na sio kwa
Na sio kwa kumkata Yesu kwa ajili ya nyama na damu..
Ndio maana ukaitwa ishirika.View attachment 1007123
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaongelea mambo ya meza ya Bwana hapa nimekuuliza aliposema wale NYAMA yake alimaanisha nini?? Hayo ya ushirika yalikuja akiwa na wanafunzi wake alipokaribia kufa ndio akawapa hilo agizo.
Au unamaanisha Yesu aliwaambia atakayekula Meza ya bwana ndio atapata wokovu?? Yaani wakila kumbukizi ilihali akiwa hai?? Are you serious bro.
Yeye aliwaambia wale muda ule sio kumbukizi.... Wanafunzi waliambiwa wafanye kumbukizi sababu atakuwa hayupo sasa kivipi yupo awaambie wale KUMBUKIZI!
Na ili ugundue bado unachanganya madesa unafkiri paulo anaposema mkate na divai basi anamaanisha meza ya Bwana ya kimwili itakufikisha mbinguni..... Wapagani wangapi wana dhambi wanashiriki ina maana itawapeleka mbinguni/kuwatakasa??
Kama ni hivo basi kumbe hata hapa Paulo alikuwa anaombwa MAZIWA na washirika wake??
12...... mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.
13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
14 Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.
Ninasali makanisa ya kiprotestant na Biblia nilikuwa naisoma sana tu ila nilikuwa natafsiri KIMWILI kama wakristo wengi humu JF ila kwa sasa nimejikita kujifunza Lugha ya mafumbo ya Biblia ili kuyaelewa maandiko yote katika lugha ya mafumbo ndio maana jana nilimuuliza mkuu Suriya Biblia inaposema mpinga kristo akija wakimbilie mlimani alimaanisha niniUmesema kuwa ndio umeanza rasmi darasa la biblia...,
Je,kabla ya hapo ulikuwa unasali kanisa gani..????
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia ya kiingereza KJV inasema FLESH yaani NYAMA
Biblia ya kiingereza KJV inasema FLESH yaani NYAMA
Alipotafsiri Biblia yake kutoka latin kwenda kijerumani kwenye DIBAJI ndio aliandika hayo maneno ambayo yakitafsiriwa kingereza yanasemaUmemnukulu Martin Luther...,Je unaweza ni link au kitabu ulichomnukulu Luther..???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa King james si ndio imetumiwa kutafsiria biblia ya kiswahili au unataka tubishane vitu visivyo na msingi.... Biblia zote za english zinasema FLESH sasa tunabishana nini mkuu??
Nimejaribu kuandika neno fresh kwenye dictionary imeleta maana yake ni Mwili.Sasa King james si ndio imetumiwa kutafsiria biblia ya kiswahili au unataka tubishane vitu visivyo na msingi.... Biblia zote za english zinasema FLESH sasa tunabishana nini mkuu??
Sasa hapa na ww unachanganya madesa kwahiyo wakisema chakula haimaanishi neno ilihali wewe unasema MWILI na DAMU inamaanisha meza ya bwanaDuuuu na wew unachanganya mafaili kinoma
walipo ongela chakula kigumu na kilaini, walimaanisha neno la mungu ndio.
Na ndio maana hakuna mahali wameandika kunywa divai.
Lakini huku kwa yesu hawajatumia neno chakula.
Wametumia neno kuula mwili wake na kuinywa damu yake.
Neno chakula likisimama kama neno la Mungu, haimaanish kila mahali utakapokuta neno chakula basi ujue ni Neno la Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapa na ww unachanganya madesa kwahiyo wakisema chakula haimaanishi neno ilihali wewe unasema MWILI na DAMU inamaanisha meza ya bwana
Sasa na mini nikisema sio kila sehemu divai na mkate inamaanisha meza ya bwana unasemaje??
Mkuu be objective
Hivi tunabishana tafsiri ya NENO au MUKTADHA?? Sasa nyama si sehemu ya mwili and vice versa !!Nimejaribu kuandika neno fresh kwenye dictionary imeleta maana yake ni Mwili.View attachment 1007375
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio bible iko hivo kama usemavyo.Hivi tunabishana tafsiri ya NENO au MUKTADHA?? Sasa nyama si sehemu ya mwili and vice versa !!
Nachotaka uelewe biblia ni figurative ila ww umeshaamua kuamini unachoamini siwezi lazimisha ubadilike so mie naishia hapa
Hivi tunabishana tafsiri ya NENO au MUKTADHA?? Sasa nyama si sehemu ya mwili and vice versa !!
Nachotaka uelewe biblia ni figurative ila ww umeshaamua kuamini unachoamini siwezi lazimisha ubadilike so mie naishia hapa
Mkuu shida unabisha alafu hauna alternative ndio maana nashindwa elewa wafia dini wa JF sasa unakataa hakuna mafumbo ikimaanisha biblia inaeleweka kama ilivyo basi nisaidie hapa Yesu alimaanisha nini??Ndio bible iko hivo kama usemavyo.
Lakini sio bible nzima, hadi ikufanye wew ukatafute maana ya neno...labda
Tenda haki- na wew unaenda kung'ang'na kutafuta neno tenda haki kamaanisha nini wakati neno linajieleza wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app