JF Hard Talk "Zitto junior"

Mkuu huelewi kiswahili unataka nitumie lugha gani???

Nimekwambia mafumbo yapo ndio, lakini sio kwamba kila andiko ni mafumbo,

Katika uumbaji wa Mungu wew umesema ni mafumbo mm nakataa sio mafumbo,

Na kama ni mafumbo tupe ufafanuzi wake kama ulivokua ukidai.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni topic ndefu sana inahitaji uzi maalum ntauweka JF intelligence ila kama una haraka sana nmekwambia kama uko dar naweza kukusaidia hard copy ya notes zangu ukajisomea mwenyewe i believe utarudi ukiwa umefunguliwa akili na utaacha huu utumwa wa sasa wa kuitafsiri Biblia kimwili na ndio maana wakristo wengi hamuelewi kitabu cha ufunuo sababu hiyo mwisho wa siku tunaishia kudanganyana kuhusu dalili za kuja kwa Yesu!!

Na hii ndio ilisababisha wayahudi wakamkataa Yesu maana walidhani atakuwa KOMANDOO fulani wa kijeshi, handsome boy mwenye six packs sasa wakashangaa mchonga mbao ndio messiah atakayejenga ufalme!! Kumbe hawakuelewa ufalme wa Israel utakuwa wakiroho... Mwishowe wakamkataa na kumuua naiona hatari hiyo ikijirudia kama wakristo ndio mnaitafsiri biblia kwa mitazamo yenu.
 
Hayo ya kiliman umeyaleta wew.

Mada ilikua ni kushiriki meza ya bwana kwa kuula mwili wake yani mkate na kuinywa damu yake yani divai.

Naona hapo ndio unadai kuwa panamaana nyingine ety kisa muda huo Yesu alikua bado yu hai.

Acha kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja hatuto elewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo direct umejuaje kuwa mm ni miongo mwa wanao tafasiri bible kwa makosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana nikakwambia utupe maana ya maneno machache tuuu.

Na tufanye mtu kwa mfano wetu.

Huto tu taneno tuchache.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana nikakwambia utupe maana ya maneno machache tuuu.

Na tufanye mtu kwa mfano wetu.

Huto tu taneno tuchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo ina maana waliingia convenant na mwanadamu Yaani walimchagua mtu ambaye atakuwa na utakatifu/imani kama YAO ... Hivyo Adam akawa mtu wa kwanza aliyeingia covenant na Mungu!!

Mstari ukiwa wenyewe unaweza ona hauna maana ila ukipata mtiririko mzima mpaka maana ya ikawa usiku ikawa asubuhi,mwanga,maji,siku ya 7 kupumzika n.k utaielewa dhana nzima nayoiongelea hapa.

But all in all ni topic ndefu sana hta mmi nilibisha sana ila with time nilielewa so hata ww una haki ya kupinga ila ukijifunza utagundua ulikuwa gizani
 
Njoo direct umejuaje kuwa mm ni miongo mwa wanao tafasiri bible kwa makosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si jana nmekuuliza maana ya KUKIMBILIA MLIMANI ukasema ni mlima hii ya kawaida!! Ilihali kwenye Biblia mlima unamaanisha KANISA/kundi la watu.

Nlikuuliza maana ya OMBENI ISIWAKUTE MAJIRA YA BARIDI/winter..... Hapa ulishindwa ng'amua kuwa biblia ilimaanisha baada ya mavuno yani kunyakuliwa watakaobaki watafikiwa na hukumu maana mavuno yakiisha ndio inakuwa WINTER!!

Sasa such figurative words zikikushinda kwanini nisikuite muongo?? Sasa kweli mpinga kristo akija ukimbilie mlima kilimanjaro ndio utapona?? Hivi kweli wakati wa baridi ndio hatari akitokea mpinga kristo kuliko akija wakati wa majira ya joto?? Does it make sense!!
 
Nilichosema ni kwamba Meza ya bwana ni ya kiroho zaidi hivyo yenye maana sio ile ya kimwili kwamba unakula mkate na divai bali ni lile tendo la kiroho zaidi mfano kwenda kanisani kama kwenda haina faida yeyote kama utaenda kama box ila lenye maana ni ile kuomba,kuimba n.k ndani ya ibada maana ndio tendo la kiroho.

Sama case kwa meza ya Bwana maana yake kiroho ni maneno ya Mungu ndio tunatakiwa tule yaani chakula cha kiroho na ndio maana nikakuuliza kama Meza ya bwana ni ya kimwili mbona huko nyuma miaka 3 kabla hajafa aliwaambia watu wale nyama na damu yake ndio watapata ukombozi!! Sasa ndio nimekuhoji je ina maana Yesu alikua anazungumzia meza ya bwana pia?? Kama ni ndio does it make sense watu kumkumbuka Yesu miaka 3 kabla ya kifo ilihali yuko hai?? Meza ya bwana imeongelewa mara ya kwanza Yesu akikaribia kufa sasa hapo mlimani alikuwa na maana gani???

Nasubiri jibu
 
Shukran,
Lugha Swahili au English yaweza kutumika kwa kutoa Majawabu.

1.By What Standard do you Judge yourself..? How long will you be remembered after you die..?

2.If God is "good" Why is there so much evil in the World..? When do you think the World Will End..?

3.Does democracy Work for Every country...?

4. Is poverty in society inevitable...?

5.Kama ungekuwa na uwezo wa kuanzisha Taifa lako/Nchi yako,
Nchi yako ingekuwa yanamna gani..?

6.What is the purpose of life..? Are religion and science compatable...? Why or Why Not..?

7.What two questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly Is...?

8.Mwalimi Nyerere au Mchonga Meno(jina la Utani) Moja ya hotuba zake baada ya kutoka katika Uongozi Wake...Aliwahi kusema Huwa anatembea na Biblia na Kajitabu kaAzimio la Arusha,Akadai hajaona kabisa tatizo lolote lile katika Kajitabu ka'Azimio la Arusha.

Nini Mtazamo wako na maoni yako kuhusu Azimio la Arusha na pia pungufu gani kubwa katika Azimio la Arusha...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitabu, picha, videos, majarida ni moja ya vitu ambavyo vinatufanya wengi sana kuamini ilikuwa ni APPLE na mti katika uhalisia wa mti.

David Icke anasema "we are being hypnotized by people like this News readers, Politicians, Teachers and Lecturers.

Mkuu Zitto Jr bado tuna ukungu mkubwa sana ambao ukiwa wazi watu hawataamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto Junior respect to you... Umekigusia kitabu cha jasher kuna madini sana humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unawachukia watutsi sana?. zitto junior
Hahahaha mkuu unafukua kaburi,
Siwachukii watutsi ila mie mpenda haki so sipendi watu wenye tabia za kuonea watu.

Hao watutsi wamenyanyasa sana wahutu kuanzia Burundi,Uganda hadi DRC ndio maana nawakosoa sana wanapokuja na upotoshaji kuhusu masuala ya siasa za maziwa makuu.

Ila wao kama wao siwachukii kiufupi marafiki zangu 80% ni Watutsi wa Rwanda na Uganda na maisha yangu yote ya shule na chuo nmeishi room moja na watutsi watupu.
 
Okay 👍
 
Wewe huna asili ya Kinyarwanda ?
 
Nimekuelewa vizuri mkuu. Lakini naomba kufahamishwa unahisi nini kinawezatokea Rwanda siku Kagame hayupo ?
1. Waendelee kuishi kwa ''amani'' kama sasa uchaguzi ufanyike ashinde yeyote na wazidi kupaa kiuchumi. Ingawa nani atakubali kuanguka uchaguzi ndio swali?

2. Kagame akianguka wahutu walio 90% watataka sasa uongozi wa nchi urudi kwa walio wengi, kama watutsi watakubali basi amani itakuwepo ila wakigoma kama Burundi basi genocide pengine kubwa tokea ulimwengu uumbwe itatokea.

3. Suluhisho kagame aandae Mhutu kibaraka ampe madaraka makubwa kwenye system na aandae watu kisaikolojia kuwa akiondoka jamaa aachiwe urais.

4.Otherwise kama anataka watutsi waendelee kutawala basi amuweke ssa akiwa hai ili amkingie kifua mpaka anakufa ataacha nchi kwa mikono salama ya watutsi.

All in all siku kagame anaondoka kama wataendekeza ukabila na chuki basi hiyo vurugu ya kutafuta madaraka itarudisha nchi kwenye vita. Kumbuka nkuruzinza atasuport wahutu hku museveni anasupport kijeshi watutsi, hapo itakuwa ni bloodbath hatari. Mungu aepushe kwa kweli.
 
Daah, shukrani sana mkuu, nimeelewa vizuri. Uelewa wako wa hizi siasa ni mpanga, nakupa hongera.

Maswali ya mwisho kabisa. Unatumiaje huu ujuzi wako kulinufaisha taifa ? Pia unahisi Tanzania kama nchi unatumia vizuri wasomi wake wenye uwezo mkubwa kama wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…