zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
1. Zitto junior ana taaluma ya uchumi na biashara kuhusu level ana degree moja na kwa sasa ndio anamalizia masters masuala ya international trade.1.Ningependa kujua zitto junior ana taaluma ipi na kafikia level gani?
2. Zitto junior unazungumziaje juu ya kitabu cha Henoko ni kweli au si kweli? Pia vipi kuhusu DAVID ICKE unamzungumziaje na theory zake anazotoa?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nimeanza kozi ya theologia ili kuongeza maarifa juu ya maandiko na hasa kupata majibu kwa baadhi ya maswali yangu
2. Kitabu cha Henoko ukikigrade na Biblia unaweza ukakiona kama kina makosa ila ukikisoma kwa akili neutral utakiona kina nondo nyingi sana tu na ndio maana hata Mtume Yuda kwenye Biblia pamoja na muandishi wa Timotheo wa 2 wamecite mistari kadhaa kutoka humo ila akina sie tukikisoma tunaonekana wapinga kristo!! Mind you kanisa la Ethiopia orthodox wamekitunza mpaka leo toka enzi na enzi na kinatambulika kama kitabu kitakatifu.... So hapa nafkiri ni suala la maamuzi tu kukubali Canon ya waafrika wenzetu au ya wazungu!! Cha kushangaza watu wengi wanaona ya wazungu pekee ndio ipo sahihi bila kujua ukristo ulikuwepo Misri libya na Ethiopia hata kabla haujafika ulaya!!
Kuhusu David Icke nilimuelewa sana kwenye kile kitabu chake cha the biggest Secrets nilikisoma 2013, alipokuja na nadharia kuwa civilization ililetwa na martians kutoka nje ya dunia... Akaleta na ushahidi wa michoro ya UFOs,ndege,solar system n.k kwenye mapango iliokuwepo kwa miaka maelfu na maelfu kabla hta space discovery kufanyika!!
Anyway kuna nadharia zake ambazo bado zimepingwa kwa sana tu ila hata yeye aliweka angalizo kwamba hujalazimishwa kuamini na akasema kama zitateteresha imani yako unaweza acha kusoma kitabu chake hicho cha Biggest secrets. So namkubali sio kwa sababu ya nadharia zake bali kuamua kuwa free thinker na kuhoji masuala magumu
That's all....