zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Figurative maana yake ni maana ya kiroho ya neno mfano Biblia inaposema moto inamaanisha NENO LA MUNGU na kwa wenye dhambi ina maana nk NENO LA HUKUMU ukisoma Yeremia 23:29 utaona hilo ila kuna watu wakisoma huu mstari wanadhani ni moto wa kimwiliAhsante kwa mengi ya kweli na mengine mengi tu ambayo nadhani unapaswa kujifunza zaidi hasa Neno LA Mungu kupitia Biblia maana bado mchanga sana.. Je! Hili Neno figurative umelitumia sana kusema Biblia zaidi ni figurative je! Kiswahili chake fasaha ni nini??
Ufunuo 8:7
7 Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea.
Ssa figurative language ndio litakusaidia kuelewa biblia maana kila neno linalotumika lina maana yake kiroho sio kimwili..... Nafkiri tumeelewana hapa