Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Mkuu huelewi kiswahili unataka nitumie lugha gani???
Nimekwambia mafumbo yapo ndio, lakini sio kwamba kila andiko ni mafumbo,
Katika uumbaji wa Mungu wew umesema ni mafumbo mm nakataa sio mafumbo,
Na kama ni mafumbo tupe ufafanuzi wake kama ulivokua ukidai.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu shida unabisha alafu hauna alternative ndio maana nashindwa elewa wafia dini wa JF sasa unakataa hakuna mafumbo ikimaanisha biblia inaeleweka kama ilivyo basi nisaidie hapa Yesu alimaanisha nini??
Yohana 9
39 Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.
Sasa hili sio fumbo?? Je Yesu alitufanya vipofu?? Sasa kwanini akisema mkate unadai ni huu wa kimwili ila alisema vipofu je ni wa kimwili pia?? Na je maana ya kipofu tuitoe wapi maana unasema mistari inajieleza yenyewe!!
Choice is yours
Sent using Jamii Forums mobile app