JF hard talk

JF hard talk

Inaonekana una ka dalili ka 2020 . Je umejipanga hii habari ya kula na kuliwa mduara vyumba vimefungwa na kutuma mtoto dukani. Pia uanipanga kuchana kurasa za msahafu ili iwe hepi kwako?
Tuambie hukusu Congo 5-0 .na muitikio wako juu ya lugha ya ngariba i.e Udhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magumashi tena mkuu

Huyu ni demu wa mtu nachati nae now sijui mshikaji wake yuko wapi, nilimkula siku moja tu lakini anataka tena kesho naenda kumtindua ana makinika heavy mkuu.View attachment 1001532

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tangazo la biashara?

Na je unaona raha gani ukitembea na wake za watu?

Vipi siku ukifumaniwa tena wakakutoa ngeu nyigi zaidi ya hizo ulizo nazo na kukufumua marinda?

Au vipi siku ukaamua kutulia ukaoa kisha nikawa namfumua mkeo utajisikia aje?
 
Kwa uandishi huu unakula barmaid, nikutajie jina lake? Jamaa yake ni Dereva wa shirika la serikali na amesafiri kwenda Dodoma, Kilosa, Gulwe, Tura kwenye ujenzi wa nanihii.... Niendelee??

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekula hasara mkuu huyu demu yuko dodoma na mshikaji wake anapiga kazi za site (ujenzi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom