JF HARDtalk na "Mshana JR"

JF HARDtalk na "Mshana JR"

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Hapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.

Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mshana Jr kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.

Note;
Unapouliza swali mwisho usisahau kupendekeza kesho unapenda iwe zamu ya nani kuingia kwenye kikaango (JF hard talk).

Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu

Update:
Ratiba ya leo kwenye JF Hard talk ni member maarufu sana FaizaFoxy ,kama utakuwa na swali lolote kumuhusu unakaribishwa sana muda ni kuanzia saa moja kamili usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr ukiwasili tu, ndani ya uzi huu..
Ili kupunguza maswali common tupe majibu ya particular zako muhimu kama ifutavyo;

Jina: as mshana jr

Umri: unaweza toa hata group age yako.

Jinsia: yako nadhan inajulikana

Kazi: kazi yako pia ni muhimu, ili swali lije direct tujifunze kazi wana JF.

Kabila: lako

Marital status: umeoa au huja owa, na unakaa na mke wako?, Pia una watoto toa idadi ukiweza.

Resident: unakaa kwako au kwa mtu, au umepanga?

Hapo tutaenda vizur, maswali yatakushukia vizur hadi utapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.

Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mshana Jr kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.

Note;
Unapouliza swali mwisho usisahau kupendekeza kesho unapenda iwe zamu ya nani kuingia kwenye kikaango (JF hard talk).

Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya nyumba karibuni

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr ukiwasili tu, ndani ya uzi huu..
Ili kupunguza maswali common tupe majibu ya particular zako muhimu kama ifutavyo;

Jina: as mshana jr

Umri: unaweza toa hata group age yako.

Jinsia: yako nadhan inajulikana

Kazi: kazi yako pia ni muhimu, ili swali lije direct tujifunze kazi wana JF.

Kabila: lako

Marital status: umeoa au huja owa, na unakaa na mke wako?, Pia una watoto toa idadi ukiweza.

Resident: unakaa kwako au kwa mtu, au umepanga?

Hapo tutaenda vizur, maswali yatakushukia vizur hadi utapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika

Jr[emoji769]
Karibu utujibie maswali haya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom