Atafika hivi punde anayo taarifa tokea jana na taarifa imemfikia PM kwake punde baada ya Uzi huu kubandikwa
Ndani ya nyumba karibuniHapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mshana Jr kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.
Note;
Unapouliza swali mwisho usisahau kupendekeza kesho unapenda iwe zamu ya nani kuingia kwenye kikaango (JF hard talk).
Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika
Ndani ya nyumba karibuni
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]hainizuii kujibu maswali
Mshana Jr ukiwasili tu, ndani ya uzi huu..
Ili kupunguza maswali common tupe majibu ya particular zako muhimu kama ifutavyo;
Jina: as mshana jr
Umri: unaweza toa hata group age yako.
Jinsia: yako nadhan inajulikana
Kazi: kazi yako pia ni muhimu, ili swali lije direct tujifunze kazi wana JF.
Kabila: lako
Marital status: umeoa au huja owa, na unakaa na mke wako?, Pia una watoto toa idadi ukiweza.
Resident: unakaa kwako au kwa mtu, au umepanga?
Hapo tutaenda vizur, maswali yatakushukia vizur hadi utapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu utujibie maswali haya mkuuNimefika
Jr[emoji769]