OK mshana ni kweli kwamba familia nyingi za kitanzania haziamini na hazipendi maswala ya uchawi,swali kwa nn mada zako nyingi zinahusu uchawi ? Na Je ww n mchawi ?au umerithi uchawi?Ndani ya nyumba karibuni
Jr[emoji769]
Jina sahihi kabisaMshana Jr ukiwasili tu, ndani ya uzi huu..
Ili kupunguza maswali common tupe majibu ya particular zako muhimu kama ifutavyo;
Jina: as mshana jr
Umri: unaweza toa hata group age yako.
Jinsia: yako nadhan inajulikana
Kazi: kazi yako pia ni muhimu, ili swali lije direct tujifunze kazi wana JF.
Kabila: lako
Marital status: umeoa au huja owa, na unakaa na mke wako?, Pia una watoto toa idadi ukiweza.
Resident: unakaa kwako au kwa mtu, au umepanga?
Hapo tutaenda vizur, maswali yatakushukia vizur hadi utapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha kwenye avata ni yako ?Jina sahihi kabisa
Umri above 30 marital status married with 2 kids
Mwajiriwa na mjasiarimali
Naishi Pwani
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120]mampenda sana huyu jamaa kupitia nyuzi zake ngoja nijitahidi nisinzie ili tuende pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yako ni uganga au we ni mbui unaegangua juu ya wachawi?Jina sahihi kabisa
Umri above 30 marital status married with 2 kids
Mwajiriwa na mjasiarimali
Naishi Pwani
Jr[emoji769]
Uchawi ni kama cancer umeenea sana... Naamini uchawi upo lakini siamini katika wachawi na waganga wa kienyeji... Wengi wao ni matapeli na waganga njaaOK mshana ni kweli kwamba familia nyingi za kitanzania haziamini na hazipendi maswala ya uchawi,swali kwa nn mada zako nyingi zinahusu uchawi ? Na Je ww n mchawi ?au umerithi uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuroga ila nimewahi kuwafanya vibaya walionikosea pakubwa...Kazi yako ni uganga au we ni mbui unaegangua juu ya wachawi?
Elimu yako ya ulozi uliipata wapi au ni ki local local mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mchawi na sijawahi kuroga lakini ili kufikisha ujumbe ilinibidi kuvaa uhusika... Nina elimu kubwa na ufahamu juu ya uchawi ushirikina na ulozi hivyo najua ninachomaanishaMshana Jr , ( 1 )ni nini kilichokuvutia mpaka kuwa mshirikina au kwa nini unapenda masuala ya kishirikina kulingana na mada zako kedekede za masuala ya kishirikina humu JF? , napenda mkaangwaji wa kesho awe Ontario
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr ubongo wako umeshiba mambo mengi sana, nini siri ya mafanikio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi ni kama cancer umeenea sana... Naamini uchawi upo lakini siamini katika wachawi na waganga wa kienyeji... Wengi wao ni matapeli na waganga njaa
Mimi sio mchawi ni mlokole mcha Mungu mwenye elimu ya uchawi ushirikina na ulozi
Jr[emoji769]
Je ulishawahi kuwa mfanyakazi wa kuhudumia wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki(Mochwali) kama mwenyewe unavyojinasibu kwenye nyuzi zako mbali mbali?Sijawahi kuroga ila nimewahi kuwafanya vibaya walionikosea pakubwa...
Elimu yangu ya uchawi ni kipawa binafsi
Jr[emoji769]
Yes ni mimi na si mara moja au mbili nimetuma picha zangu halisi maranyingi tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo elimu umeipata wapi? Darasani, umejifunza kwa wachawi wenyewe au umefunuliwa kwa njia ya roho mtakatifuMimi sio mchawi na sijawahi kuroga lakini ili kufikisha ujumbe ilinibidi kuvaa uhusika... Nina elimu kubwa na ufahamu juu ya uchawi ushirikina na ulozi hivyo najua ninachomaanisha
Jr[emoji769]
Nimekulia eneo lenye ushirikina mkubwa hivyo nina asiliJe una background yoyote ya mambo ya kishirikina hasa uganga na uchawi au mambo ya vilinge ?? Au umeamuaga kutumia identity hio hapa jf ili uwe tofauti na wanachama wengi wenye mitazamo tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwafanya kwa kutumia niniSijawahi kuroga ila nimewahi kuwafanya vibaya walionikosea pakubwa...
Elimu yangu ya uchawi ni kipawa binafsi
Jr[emoji769]
Vyanzo anuwaiHiyo elimu umeipata wapi? Darasani, umejifunza kwa wachawi wenyewe au umefunuliwa kwa njia ya roho mtakatifu
Sent using Jamii Forums mobile app