JF HARDtalk na "Mshana JR"

Mimi sio mchawi na sijawahi kuroga lakini ili kufikisha ujumbe ilinibidi kuvaa uhusika... Nina elimu kubwa na ufahamu juu ya uchawi ushirikina na ulozi hivyo najua ninachomaanisha

Jr[emoji769]
Nn kinakufanya ujutie ambacho umefanya kwa msaada wa uchawi au haujafanya ila unatamani ungefanya ?. Kwa uchawi au hiyo elimu yako ya ulozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uutupie tena huo uzi wa kuomba msamaha.

Swali.
Je, ni kweli kwamba ikulu ya raisi inalindwa na nguvu za giza??? Na kwamba hata raisi naye huwa na mifumo hiyo???
Nimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…