JF Housing scheme

JF Housing scheme

Its human nature kutokuamini kama kitu fulani kinaweza fanikiwa sasa wachache wenye kuamini waendelee na idea baadae members watakuja wakiona kimetokea!

Ni kweli, ila wabongo tuna kasumba ya kuchukulia poa kila idea, tunakuja kustuka idea imesha zaa matunda. Kwa mfano DCB ilivyokuwa inauza hisa zake, nilizidharau, nikajua nika NICOL kengine.. Lakini right now, DCB is doing very fine.
 
Back
Top Bottom