JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

mwenyekiti.....kutokana na hadidu rejea....venue napendekeza ibaki kama ilivyo....anlesi azawaizi kutokee zarura timilifu.....
Wanaoafiki waseme ndio........
wasioafiki waseme sio........

Ndioooooo kwa sauti nzito kama za kule mjengoni ha ha ha ha
 

we nae.....umetudelete sana......unasomeka wapi kwanza.....
 
..sawa ila hapa chini..sijaelewa...

..PJ unamaanisha nini?...mie nakuja kutembea mwisho wa mwaka..hilo BATA lenu..napita tu..hahahahahaha..
Ni kwamba mwenzio TANMO akija huwa anaachaga ATM card kwa Preta, wewe unaiachaga kwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Akipokea hizo hela zako pandisha thread fastafasta ili tumalizie siku nzima huko leo!
Kama mwanachuo akafanye assignment muda huu!

halafu huyu jamaa namdai.....ananipiga chenga sana huyu........
 
This Time mie nitakuwa mgeni mkaribishwa
Nitafunga safari kutoka viwanja vyangu kuja huko Kulala sitaki hotel ..Tutabanana kwako Preta..ama utanipisha wewe ulale Sebuleni. Kabakabana bila sahaka upo shostito
Shemeji yangu PakaJimmy ulinzi wa kueleweka
Round ya kwanza Vinywaji na makulaji mama FL1 atahusika sana ...
Pamoja wakuu.
 
Last edited by a moderator:
halafu Pukudu....si upo Chugga wewe.....vipi bana......?
 
Last edited by a moderator:
...hahahahahahaha..mie na Preta siku hizi tumebaki zilipendwa..ila muulize nilikuaachaga nini...hahahahah..kwema lakini PakaJimmy
Kwema mkubwa. mambo zako vipi?
Shida yako mtu chake unakata tamaa haraka sana!...yaani vile unapokataa tamaa mwenzio anakuwa ndio yupo marginal point ya kukubali!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…