Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
Kama ile ulonitumia term ya kwanza ila ongeza kama elfu 20 nasikia mafuta hakuna na wamepandisha bei ya nauli na pia mvua zimenyesha sana lile daraja sasa hivi tunavushwa kwa elfu mbili kwa kila kichwa....utahitaji kiasi gani.......
..bebiiibebii....how dare you.....whyyy.......:A S 20:
..hahahahahaha...eti nakata tamaa mapema...haya bhana..ila km ni kwema safi...Kwema mkubwa. mambo zako vipi?
Shida yako mtu chake unakata tamaa haraka sana!...yaani vile unapokataa tamaa mwenzio anakuwa ndio yupo marginal point ya kukubali!
..tuko pamoja..what....waaaaa...:A S 20:
what....waaaaa...:A S 20:
Heeee!!!:becky:Hehehehe Wenyeji wa AR tupo tunasubiri wageni lol
Heeee!!!:becky:
hahahaha Preta bana! ngoja na sisi tubadilishe banaa
hahahaha Preta bana! ngoja na sisi tubadilishe banaa
Usijali mamiii , yaani soon will be thereUende wapi na wewe ni wa hapa hapa, likizo lini? sore ofu topiki
..kwi kwi kwi..una uhakika na source yako..?
Usijali mamiii , yaani soon will be there
Habari yako Lily Flower, piga kimya nina maana yangu.