Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Hivi nyie watu wa Dar nimewakosea nini? yaani nimekuwa Al shaabab. Asprin pale Piknik nimetega bomu.
[/QUOTE]He he he hakikisha limeandikwa jina lake hilo bomu lisilete madhara kwa waingiaji hapo Piknik.
Hii ungeiandika na rangi nyeupe si unajua tena marejesho alivyo na timbwili
Mkuu tunaomba wewe na Arachuga guys wote muwaonee huruma watumishi wateule wa Mungu wa huku Dar kwa kuzuia hii mutu SaHaRavoive isifike pande hii.
Hii mutu ni hatari kuliko Al Shaabab!!
Preta,
Lete maendeleo ya hii maneno!...tunataka ratiba full ya siku ya kikao...!
Ila venue tuletewe chumbani aka PM maana kuna watu wawili ambao tumepata taarifa za intelijensia kuwa wamechukia kwasababu hawajaalikwa, na hivyo wanaplani kutu-Romney wote!...Mimi nitawataja ili na nyie muwatathmini, na iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya!
Ni Remmy na
Paw!...lol!
Nashangaa Blaki Womani yuko kimya hadi saa hizi wakati anatakiwa ku'propose direksio ya lokesio ili watu wajikondisio na wafanye preparasio ya vacasio wakiwa bie.
ni JF wote my dear.....hakuna anayekataliwa......
dah.....kamanda......tumekuchimbua chimbo eeh......mzima lakini.....?
Mhmmm!!!! Mimi napita tu...wasalaam.
We jiandae tu!. Arusha-Wing has never failed in any of its plans!Tunasubiri maamuzi ya kikao. Mungu akipenda tutatia maguu.
nategemea kukuona.......