JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

Nyie watu wabaya sana..... Mabia mnipigishe wenyewe, niko kibwasi mlijua fika afu hata kuniamsha mkagoma. Manina zenu.

Kwa hasiri nikajimuvumisha mwenyewe Ar kuwalipizia kisasi. Kama unabisha waulize Preta, lilyFlower, sweetlady, PakaJimmy, Filipo, Kabakabana, LiverpoolFC, WiseLady, Saharavoice Mzee wa Rula, Blaki Womani na majirani zake bila kumsahau binamu muzee ya kufyotoa mafoto na Rauuuum kamata tupa kule, shika RAVA foo weka hapa..............Vruuuuum Kwa Mromboooo

Chezeya babu Asprin a.k.a ODM!

Enzi hizo kuna watoto walikuwa bado kuzaliwa!
 
Last edited by a moderator:
Mlitualika?
Tutakuja vp kiswazi mkuu?
Si unaona hapo Preta kaformalize mwaliko?
Lete thread mliyotualika!

Arusha-Wing will remain the HQ of JF!
Hahahahaha.... PAKkaJimmy hivi visingizio kama serikali ya JK hatuvikubali
 
Last edited by a moderator:

Nani kakuambi pombe ni chai ukome ulimiss vitu vya ukweee, nasikia uliweka alam nyingi lakini hukushtuka ulevi noma
I confirm ulikuja baada ya miezi sita.
 
The Finest aise nilikukosa sana nikaamini jamaa atakuwa kashampata wa kumwambia marufuku kukanyaga JF huko utaktana na akina snowhite, sweetlady Blaki Womani na wengineo watakuiba
Hahahahaha...nipo mkuu kuna kibabu kinaitwa Asprin ndio kinatusumbua sana na uzee wake hapa mjini tunataka tumrudishe tu Mamdenyi maana huku mjini anajifanya mzee kijana
 
Last edited by a moderator:

Kaka unatuonea bure asee.....

Hebu soma hii makitu yako mwenyewe. Tena kipindi hicho hata bado hatujafahamiana kabisaaaaa....!

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/52011-shukrani-nimekutana-na-mkono-wa-mungu-live.html

Hehehehe!! Acha kuusema vibaya mkono wa Mungu bana!!

Afu mwambe Saharavoice, amepigwa marufuku ya kuja Dar. Akija aishie Ruvu darajani..... LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha...asante ukiona nime bold na kuweka rangi nyekundu basi ujue hatari inakuja....hahahahaha
 
af wewe nilikukabidhi kazi hujaifanya mpka leo manake sijapat feedback wala mlisho mbele
unazeeka sasa!
Tatizo mwalimu wangu husomeki kabisa. Hebu peana na mimi hiyo kazi kwa PM basi.....

Me loves my mwalimu kwa kujali maslahi yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…