Mkuu umeamua kumwaga ugali!Kaka unatuonea bure asee.....
Hebu soma hii makitu yako mwenyewe. Tena kipindi hicho hata bado hatujafahamiana kabisaaaaa....!
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/52011-shukrani-nimekutana-na-mkono-wa-mungu-live.html
Hehehehe!! Acha kuusema vibaya mkono wa Mungu bana!!
Afu mwambe Saharavoice, amepigwa marufuku ya kuja Dar. Akija aishie Ruvu darajani..... LOL
Kaka unatuonea bure asee.....

Hahahaha! Sote ni ndugu, watoto wa baba mmoyaaaa!!Mkuu umeamua kumwaga ugali!
Tena wewe nna kesi yako ujue....amwage ugali na sisi tuvunje sahani.....kudadadeki.....
Mkuu tunaomba wewe na Arachuga guys wote muwaonee huruma watumishi wateule wa Mungu wa huku Dar kwa kuzuia hii mutu SaHaRavoive isifike pande hii.Hahaha hahaaaa mkizuia Saharavoice basi na nyie mji huu hamuingii bila kupigwa fine ya kufa mtu.
ohooo God have mercy! umefumaniwa au nini jamani ? pole
na usisahau hadidu rejea za mkutano uliopita........
hii BAK hajawahi kuitoa hii! Nicas Mtei unaiona muuuuv ya Boflo ?
muulize anaweza kuingilia mengele ya mtu yenye sari lakini?mwongozo wako shemeji!
Hahahahaha...nipo mkuu kuna kibabu kinaitwa Asprin ndio kinatusumbua sana na uzee wake hapa mjini tunataka tumrudishe tu Mamdenyi maana huku mjini anajifanya mzee kijana
chukua...... 04 28.11 S......36 40.18 E....hakikisha unawasili salama.....