JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

Mimi naomba Tenda ya Kuuza Ugoro na Mneli kwenye hiyo Pati wajameni..
 

Kweli mkuu? Next time when you are town pm me plse!
 
maelekezo please! hiyo venue iko pande gani?
 
Filipo mpenzi leo uwahi kurudi home tukadiscuss hii issue....

usihofu dia! Kwanza watambue uwepo wetu kwenye kikao cha mipango na siku ya tukio. Nyumbani tunaweka logistics sawa tu!
 
Last edited by a moderator:
Pj! Hv siku ile nakumbwa na janga hili tulikuwa wote nini?

Nikiikumbuka G100 yani inanikumbusha mbali sana!

Mkuu,
Suti ya nini si tunaenda vekesheni huko ma-outskirts!
Usiwe kama Diamond Platinums aliyeenda Ngorongoro na Suti ya kuolea!

Huko unakuwa kwenye mkao wa kukabiliana na makasheshe!



Humu ndio Jf bana! Kila kitu utakuta humu!
 
.....!ninyi chuga achen maarifa.sisi ni jf-wazawa...rijinale....!ndo maana tunavisit vipapatio vyote ndani na nje ya nchi...!

tupeni heshima zetu au mnataka tuzichukue kwa nguvu...???
 
hili la loner ni swala "mtambuka"....!

lisijadiliwe kwa sasa....!ninadiklea interests live and direct....!kuhusu utaratibuuu...mheshimiwa spikaaa???
 

Well said mkuu!!!
 
Dah! Wi-Fi uwe makini kwenye uwindaji wako, isije tokea ukawindwa wewe mkuu, aongea na Preta vizuri asaidie kusoma alama za nyakati, azawaizi kila heri na karibu sana pande hizi:cheer2: Preta hizi GPS
cordinate mbona zinaonyesha ni kwa mromboo?

Mkuu they say "dont hunt what you cant kill".... Im a killer bai profeshno!
Huyu Preta naona ananipoteza hivi.. Mbona kama GPS inasoma ni kule Matejoo??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…