Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
hata hao wapenzi wanatafutwa kwa kuweka matangazo?Mnakosea sana mnapokuwa mnatafuta ndoa, usitafute ndoa tafuta mpenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hao wapenzi wanatafutwa kwa kuweka matangazo?Mnakosea sana mnapokuwa mnatafuta ndoa, usitafute ndoa tafuta mpenzi.
hata hao wapenzi wanatafutwa kwa kuweka matangazo?
Daughter huyu sio Michelle
ni mwingine
Pole dada! ni kwel mimi nilishawai kurusha tangazo maksudi kuwa natafuta mwanaume aliyekuwa serious wa kuanzishanae familia kwa makusudi ili nijue kama jamaa wangu ataaply du nilishikwa na butwaa pale nilipoona jamaa wangu na yeye anrequest1 jamani tujiathari na matapeli wa mapenzi
inategemea,mbona kuna wengi tu mpaka wamefanikiwa kuoana?pole sana ila sijui lini mtajifunza kuwa uhusiano wa kufaa huwezi kuupata kwenye mitandao
Ole wako uje uniumbue na ule mtongozo nlokupiga juzi.....😛hoto:
Nimepitia maoni yenu wote, kwa mlionipa pole ninawashukuru sana. Ninaomba pia niweke wazi mambo yafuatayo
1. kuhusu kuonana live tulishaonana na alionekana ni innocent na mcha Mungu kwa maneno yake, pia kwa muonekano sio mtu mbaya au anayeonesha kuwa na tabia mbaya
2. Kwa waliokazia kuhusu ulaji wa tunda, sina haja ya kumdanganya mtu nisiye mjua na asiyenijua ukweli ni huo kwamba kamwe hakuwahi kuuona utupu wangu na kwa hilo siko na sikuwa mrahisi kwa yoyote yule. Kwahiyo kama wewe unalazimisha kuamini hivyo wewe amini tu upendavyo ila tunda ni langu na halikuliwa.
3. Watu hukutana popote na kufanikiwa kuwa na mahusiano yenye manufaa tu, hivyo kukutana na mtu online, street, kanisani au kwingineko hakucount ila ni aina ya mtu uliyekutana naye ndio inacount.
4. Hata kama ingekuwaje, bado ingekuwa vigumu kwa mimi kujua mambo ya mahusiano yake kwani mpenzi wake yuko mkoani kama nilivyokwisha elezea kwenye post yeye ndiye anayejua wanawasiliana lini na kwa namna gani.
5. Hii post iko hapa ili kuwapa somo wengine ambao kwa njia moja au nyingine wana mpango wa kuanzisha mahusiano ili wawe makini na kutojirahisisha kabla ya kujuana kwa undani iwe online, street n.k.
Otherwise michango yenu wote kwa upande mmoja au mwingine inajenga kutegemeana na nini unaamini as far as relationship is concerned.
Chunga sana, kuna kisa kililetwa juzijuzi na mwana JF wa zamani kuhusu haya mapenzi ya kwenye mtandao kumbe mtu alikuwa unausambaza UKIMWI makusudi kabisa. Pole.