JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Alaah!Basi tukazane kwenye kilimo cha hela.🤔
E5E9B10C-9229-481E-AC4C-0739B23AEEDC.jpeg
 
Sawa babu😥😥😥
Hapa bado hujalia Binti yangu,,nitahakikisha unaendelea mwaga chozi la furaha kila wakati Mungu atakapo tujalia uhai na afya ya mifupa,,Damu na Nyama!!Sawaa Joah!!
 
Huyo alikuchoka alikuwa anakutafutia sababu hana lolote, sema ulikosea usingeachana naye kwanza mpk ungejua ID yake ili wazaramo tuwe tunampitia na kijembe 😂😂😂
Kwa kweli alitafuta sababu sio siri🤣🤣🤣
Si ndio hivi mzaramo Leo nimekumbuka nimemleta kilingeni wazaramo wenzangu mshughulike nae🤣🤣🤣
 
Samaleko,

Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa,
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...

Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?

NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..

Happy Maulid to all
Wanawake na wanaume walioko jf ni walewale walioko mtaani.

Ex wako ni mjinga tu kama wajinga wengine, vipi wanaoonyesha viungo vyao TikTok? Instagram? Facebook? Twitter?

Angefikiria hilo asingewaza ujinga.
 
Samaleko,

Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa,
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...

Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?

NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..

Happy Maulid to all
Duuh hii kali!
 
Labda ni ile hofu tu kwamba binti aliyejiunga humu, tuseme miaka 10+ iliyopita, atakuwa ameshapitiwa na njemba ngapi za humu?

Binti kama huyo ukimparamia wakati keshapitiwa na njemba zaidi ya 10 za humu halafu wewe unacheka nazo zinakusanifu tu na zingine bado anataniana nazo kidogo inaleta ukakasi. Ndiyo ya kuja kuambiwa eti umebeba mzoga!

Binafsi siwezi kudeti binti mkongwe wa humu maana wengi(ne) wamechezewa sana na mashetani ya humu!
What if mke wako yumo humu Kwa kificho?umewahi kuwaza Hilo?
 
Back
Top Bottom