Dadamtu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2023
- 502
- 1,093
Eti🤔🤔wanafanyaje?Watu wanatengeneza mazingira ili baada ya 3yrs uwe na siri mkuu🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti🤔🤔wanafanyaje?Watu wanatengeneza mazingira ili baada ya 3yrs uwe na siri mkuu🤣🤣
Usiogope, nakutania tu . Ila PM usifunge coz nitakuwa mgeni wako🤣🤣Eti🤔🤔wanafanyaje?
Inafungwaje?Usiogope, nakutania tu . Ila PM usifunge coz nitakuwa mgeni wako🤣🤣
Achana na hizo mambo, kwanza uifunge ili iweje🤣🤣Inafungwaje?
Kwani ukifunga haifungiki tena?Achana na hizo mambo, kwanza uifunge ili iweje🤣🤣
Wanajuaje sasa?Watu wa humu wanakujua Hadi unapolala ndio utajua hujui😅😅
Nishakuambia huu ni uzushi achana nao🤣🤣 kwanza ukifunga tu hata kuchat hivi huwezi tena.. 🤣Kwani ukifunga haifungiki tena?
Undercover, inside source....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaah we hizo taarifa umezitoa wapi?usije ukala mvua 30 maana JF nayo haitabiriki
Hamna kitu legend, kwani kwako nilijuaje...🤣🤣🤣 Dah nyie watu Kweli mlisoma Cuba
Mmh serious?Nishakuambia huu ni uzushi achana nao🤣🤣 kwanza ukifunga tu hata kuchat hivi huwezi tena.. 🤣