JF imejaliwa vipaji, kuna watu ni watunzi wa stori unaweza ukaamini, tuwekee orodha yako

Jiandae kuambiwa kuwa hii ni ID nyingine ya GENTAMYCINE Mkuu.
hilo halina ubishi kabisa, wewe ni miongoni mwa watu wanaojimwambafai kuwa eti una IQ kubwa, unajua kila kitu

Lkn ukweli ni kwamba hata uweje huwezi kujua kila kitu unaweza kuwa mhandisi wa umeme usijue kutibu watu

Sasa wewe komaa na ujuaji wako, am sorry lkn ni mtizamo wangu tu mkaka usije ukaanzisha ligi

Japo ukweli utaki kuwa una ID nyingi sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…