Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simfahamu vizuri huyu Diva lakini kwa maelezo mafupi ya maneno yake aliyoyaandika, hakika atakuwa na mambo haya:
1/Kashfa zinazoandikwa juu yake zina ukweli.
2/Upeo wake ni mdogo sana.
3/Ni msichana asiyejiheshimu.
4/Ana tatizo kubwa la kiakili.
Masikini My Loveliness Diva,,
Tatizo kuna watu wanamuandika vibaya huyu Binti humu kwa lengo la kumchafua.
Ila hapo ni kwamba ameghafilika kidogo tu.
Masikini My Loveliness Diva,,
Tatizo kuna watu wanamuandika vibaya huyu Binti humu kwa lengo la kumchafua.
Ila hapo ni kwamba ameghafilika kidogo tu.