Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Na watoto ni wake piaDunia yako, chaguo lako.
Bibi money! Nime edit kidogo.Gigy money
Vipi Kasigazi kalungi anaendeleaje?Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu.
Mtoto wa kwanza ataitwa Kasigazi Kalungi
Mtoto wa pili ataitwa Jike shupa
Mtoto wa tatu ataitwa Ngengemkeni Mitomingi
Mtoto wa nne ataitwa Freyzem
Mtoto wa tano ataitwa Mzito Kabwela.
Hadi hapo tumefunga uzazi.
Sijui wenzangu mna maoni gani?
Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu.
Mtoto wa kwanza ataitwa Kasigazi Kalungi
Mtoto wa pili ataitwa Jike shupa
Mtoto wa tatu ataitwa Ngengemkeni Mitomingi
Mtoto wa nne ataitwa Freyzem
Mtoto wa tano ataitwa Mzito Kabwela.
Hadi hapo tumefunga uzazi.
Sijui wenzangu mna maoni gani?
Ukifyatua mwingine muite "matunduizi".
Huyo lazima atoboe awe captain wa wote hao