JF imenipa majina ya watoto

JF imenipa majina ya watoto

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu.

Mtoto wa kwanza ataitwa Kasigazi Kalungi
Mtoto wa pili ataitwa Jike shupa
Mtoto wa tatu ataitwa Ngengemkeni Mitomingi
Mtoto wa nne ataitwa Freyzem
Mtoto wa tano ataitwa Mzito Kabwela.
Hadi hapo tumefunga uzazi.
Sijui wenzangu mna maoni gani?
 
Hao watoto wote utawapeleka wapi? au kwasababu mahufuli amesema elimu bure.
 
nkurunzinza mang'oma nyambiti nazani hili linafaa
 
huyo kalungi kasigazi umemuuliza maana y jina hilo?
 
Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu.

Mtoto wa kwanza ataitwa Kasigazi Kalungi
Mtoto wa pili ataitwa Jike shupa
Mtoto wa tatu ataitwa Ngengemkeni Mitomingi
Mtoto wa nne ataitwa Freyzem
Mtoto wa tano ataitwa Mzito Kabwela.
Hadi hapo tumefunga uzazi.
Sijui wenzangu mna maoni gani?
Vipi Kasigazi kalungi anaendeleaje?
 
Vuvuzela je halifai??🤣
 
Ukifyatua mwingine muite "matunduizi".
Huyo lazima atoboe awe captain wa wote hao
 
Back
Top Bottom