moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
HahahahhaaYou're depression? Pole mwaya. Kweli Una depression. Sasa si utoke kwenye mtandao kwa muda mkuu?
Itakua kaka Deo kweli huyu. Ila kaka Deo hanaga mbwembwe za lughaHahaa Mkuu " huwenda jamaa yatu ameamua kuja kwa ujio mpya humu
yeah I'm Depression ..You're depression? Pole mwaya. Kweli Una depression. Sasa si utoke kwenye mtandao kwa muda mkuu?
Ndio Style yake mpya hiyo " ili tusimshtukie "... Ila kwa kuwa amekutana na sisi ma Mamba " tumemshtukia mapemaItakua kaka Deo kweli huyu. Ila kaka Deo hanaga mbwembwe za lugha
Kila nikitizama avatar yako kuna mtu nakufananisha nae.... hasa hiyo saa..... sijui kwanini....
Okay Depressionyeah I'm Depression ..
Upepo unayumbisha dish mawimbi hayashiki vizuriNdio Style yake mpya hiyo " ili tusimshtukie "... Ila kwa kuwa amekutana na sisi ma Mamba " tumemshtukia mapema
Aisee huyu king'amuzi kimeisha bundle
Kama huyo mtu yupo pemba basi ni mm
hahaa itakuwa Mungu alimuumba kwa kutumia udongo wa made in china huyuUpepo unayumbisha dish mawimbi hayashiki vizuri
Example. The world will end up tomorrow.Impossible tense?!! Ndo naisikia leo. Mkuu, naomba niwe mwanafunzi wako
HahahhahaaaaKwa akili hizi huyo mpenzi wako ukimaliza nae huu mwaka niite mbwa.
Hahahaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]After think too much...i know i can got the answer....to finished the issue face me
😹😹😹😹yeah I'm Depression ..
ZinasemajeeWaeza kuta Hata zile nyuzi mbili zilizopita zilikua chai..
Sijui gf hataki aende kufanya kazi. Fungua kwenye nyuzi zake utaonaZinasemajee
Ahahahajaj ngoja nilale mieSijui gf hataki aende kufanya kazi. Fungua kwenye nyuzi zake utaona
He! Kumbe!Mkuuuu hizi zipoExample. The world will end up tomorrow.
Hii ni future impossible tense
yeah I'm Depression ..