JF ina watu wa ajabu sana.

JF ina watu wa ajabu sana.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kuna watu wanapita JF unabaki kujiuliza ni watu wa aina gani.

Kuna huyu mwamba alitokea. Kila akianzisha uzi anaanza na "Mimi ni yule kijana ambaye nimetahiriwa hivi karibuni😀😀" sijui alikuwa akiwaza nini na sijui alipotelea wapi yule mwamba.
 
Alijiita Gogle.

Wakuu,
Ni Yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa hivi karibuni na kupatwa matatatizo kadhaa yaliyosababishwa na kuchelewa kutahiriwa, yakiwemo uume kupinda kushoto na kupatwa na kizunguzungu kila nionapo makalio makubwa yakitingishika.
Leo nimekuja mbele yenu kuwaombea nafuu wale vijana wenye vibamia, Mimi sina kibamia, yangu ni above average size.
Tunaambiwa kwamba kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kwa maana hiyo kibamia kitakuwa na uzuri wake pia, Mara nyingi tumeona wenye vibamia wakisemwa vibaya tu. Hivyo hapa naomba wale wenye kujua uzuri/utamu wa kibamia watueleze hapa ili huu Uzi uwe habari Njema kwa wenye kibamia.

Karibuni wote

Nb: Kibamia = uume mdogo


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Sawa
IMG_20211002_070854.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kundi muhimu zaidi
"nina gari,bila gari siwezi kutembea, Hennessy ile ya laki 5 ndo ina ladha"

Mlimani city ndio sehemu angalau nitatulia"

Hawa huwakosi
 
Wacha watuburudishe maana bila wao tutajikuta tunafika mbinguni tukiwa tumechoka sana....
 
Back
Top Bottom