Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kwanza ingekuea mchanganyiko wa girls and boys!!
Ingekua Kuanzia O level hadi Advanced level
Kungekua na comb zotee kwa advance
Mabweni yangekua kama yotee..
naomba nipange safu ya viranja..
Mamods wote wangekua viranja wakiongozwa na invisible kama head prefect na Asha Dii kama head girl...!!!
Suspension ndo ingekua BANN yaani unapigwa paa ya kuanzia wiki tatu mpk mwezi mwingine mpk Necta mwingine anafukuzwa kabisaa
Haya sasa turudi madarasani sasa kuanzia 2014 kurudi nyuma wale ndo wangekua High School
Halafu 2015 kuja juu wangekua O level nadhani mshajijua wenyewe hapooo!!
Naomba nije kipengele cha wanafunzi na sifa zao;
Kungekuwa na wasongo wale wako serious wao no mademu yaani....!!!hawa ni kina ushimen,ccnp engineer, da vinc,castr na wengine wengi wao ni wazee wa kusomea vijiji wao no story na mademu busy tu na kitabu!wawe maTO
Wadada hapa karucee,nalendwa,Rebecca 83 na huyu heaven sent wengine mmewasaahu mtaongezea
Kungekua na wale wapenda mademu kama humble African,hearly,Asprin,kaizer,the don clericuzo n.k
Yaani hawa na mabinti damu damu balaa kutwa mabweni ya wadada....na madarasani michezo yao ingekuea hvyo yaani
Couple za shule zisingekosana hapa nifah na bold wangekua wachumbaaa,mahondaw na smart 911,espy na mo11 kama kawaida vile na zingine za wale masailent kilaaa...
Nakuja upande wa wanafunzi machepele wapenda clubs,mziki watata ila sio wadangaji wa kwanza mzigua,demmis,shunie japo walimu wangekua wanamsema anafata mkumbo haka kashunie maana kana kasura kaupoleee,mama Sabrina huyu ni bingwa wa suspension na demmis halafu Dada yao angekua Rayna yaani anawashauri watulie lakini weee!vichwa moto hawaelewi balaaa!!!hawa wanasuta mpk unajuta yaani ukimuingia mmoja imekula kwako.hapa warumi hakosi hapa!
Wanafunzi wakimya kina yna4,kina Ina,hajar,ukhtuy,vidada vikimya
Matom hapa angekuwepo Evelyn salt ingekua mwisho wa matatizo yaani huyu Dada anakunja ngumi kama Leila Mohammad Ali vilee...angewabonda sanaa wale wakaka wajinga wajinga wenye mambo za kike Mimi hapa siwasemi akuuuu!naogopa suspension!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Halafu kungekua na masailent kilaaaaa wao kimyaaa lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,wao ndo mabingwa wa kuliwa kimya kimya,na kula kimya kimya yaani hao hata wakienda ofisini walimu wanakataa wanasema mnawasingizia!!!mpk ufanyike uchunguzi haswaa!!!!
Halafu
Halafu sasa mama mchungaji angekua heaven sent hapa yeye ni mwanzo mwisho anasifu na kuabudu!
Kuna wale wapenda mziki kama chige na hance mtanashati japo huyu hance yeye ni kipeleto habari hata ya uongo anaileta baasi tafrani tuu!mradi tu msanii wake kaandikwa!
Huo ni mtazamo tu hebu panga safu yako kama jf ingekua boarding school!!!