JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Hahaa matron wetu alikuwa anakagua ndio anafunga ila alikuwa hakuti mtu, kuna watu walikuwa wanakuja school na mabegi makubwa ukiingia humo huonekani, aiseee yalitukoma mabegi yale. Maana n mwendo wa kutoa mavitu kuweka mvunguni alafu wenyew ndan ya begi. Siku ukikosa begi jiandae kwenda prepo hahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!!umenikumbusha muda we kipindi cha dini Mimi na wenzangu hatuendi akija matron tunajificha uvungu wa vitanda kimyaaa bas anasimama kisha anaondoka maana kuinama hawezi yule mama !!!!akitoka vichekooo kama vyote!jamani kaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ungeona hilo kabati lina sehemu nne kila mtu anapewa upande mmoja mmoja ili kuweka vitu vyako,unaingia kwa kutanguliza mguu kule yaan unapanua mapaja na unaingia na chupi na bra ili usibanane sanaa na ujichanue vyema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalikuwa ni kazoezi nakuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weeee hapana kwa kweli!!!mi nshakaa sana chooni au uvungu wa kitanda kimyaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama sabrina umetisha kwa habari hizo za kufungiwa kwenye locker wakati wa prepo.

Ila maisha ya boarding yana raha yake.
Kuna muda ukijiuliza sababu ya yote haupati jibu kamili

Niliwahi kujificha uvunguni bahati mbaya miguu ikaonekana, kwa ujeuri nikachomoka nikakimbia, walinzi wakaunga kunikimbiza,
Nikakimbilia toi mlinzi huyu hapa, nikapiga kelele ananibaka ananibaka,
Mlinzi akaanza kurudi nyuma na mimi huyo nikazama Kwenye vichaka nikatokomea nje ya shule
 
Back
Top Bottom