Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #501
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!!umenikumbusha muda we kipindi cha dini Mimi na wenzangu hatuendi akija matron tunajificha uvungu wa vitanda kimyaaa bas anasimama kisha anaondoka maana kuinama hawezi yule mama !!!!akitoka vichekooo kama vyote!jamani kaahHahaa matron wetu alikuwa anakagua ndio anafunga ila alikuwa hakuti mtu, kuna watu walikuwa wanakuja school na mabegi makubwa ukiingia humo huonekani, aiseee yalitukoma mabegi yale. Maana n mwendo wa kutoa mavitu kuweka mvunguni alafu wenyew ndan ya begi. Siku ukikosa begi jiandae kwenda prepo hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app