JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Ray umesahau na waangusha minazi na miarobaini usiku,siku moja nipo na mnazi wangu kanikamatilia mara mlinzi tulitoka mbio tukayavuta matisheti vichwani mi nakimbilia girls ye anakimbilia boys ,nilitetemeka jamanii sikurudiaa tenaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waiba nyanya bwana wakakamatwa wakasambazwa mabweni yotee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi bwana nimesoma gvt ila sasa!!siku za disco wee!maustadhat nakuambia tunawakomaa wanatusemaaa balaa!hatukomii!!tunaenda kama kawaida na vipanchuchu vyetu!
 
Ita waliosoma Mkwawa High School waje waongezee uzoefu wa boarding school......

Hongera kwa ulichokiwaza, ila hujatuambia wadokozi wa vitu vya wenzao na wapiga kelele darasani na bwenini wangekuwa akina nani?[emoji12]
hahaa hii hapa hata mimi nahitaji maelezo aisee
 
Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.

Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaaa
 
Mimi ningekuwa pusher wa skuli. Ukitaka fegi, ugoro, kiroba, shada, condom, gomba, big G, tambuu, kuberi, mkongoraa vyote unapata kwangu.

Alafu walimu wananiona ni mwanafunzi mwenye akili maana napasua na ni mpole kuliko wote hata nikikutwa na kosa watasema "mnamsingizia"
 
hivi na nyie mlikua na masomo hayapandi,ila upo tu hauna option Zaidi ya kuwa darasani,lol kuna mtu Physics ilikua haipandi,basi mwalimu wa hili somo alijua udhaifu wake ...kila akiingia darasani lazima amsimamishe kwa swali,hahaaaaa im sure kungekuwa na sehemu ya kwenda badala ya ku attend hiki kipindi,angefanya hivyo ..lol...uzuri au ubaya shule nyingi za boarding zipo kijijini huko...msitoroke..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…