Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mimi nilikuwa mbishi, zangu ni kuchallege kila story anayoileta mtu.[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Hapana tatizo wanafunzi wakishasikia mfuko wa nylon unalia basi uwo mstari ni either ugawe mazagazaga hadi yaishe au ugawe kwa marafiki.....Hahaaa!!wewe kumbe ni mzembee hvyooo!!
Yaani wewe hufanani sura na mambo yakooo
hahaaaaHaya maisha yanatakiwa kujiongeza kwenye vingi vingenevyo utafeli
Nina hulka fulani ya uvivu ...na ukitaka mambo yako yaende mtafute mvivu akufanyie ,yeye atatafuta shortcut tu ..ndiyo hivyo badala ya kufua naanua tu vilivyo kauka teh
hahahaUuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Hahahahahaaaa.Umenikumbusha a way back huko O level nilikuwa nakunywa uji balaa....
Yale maisha nikiyakumbuka huwa nacheka sana....
Watu tulikuwa tunatumia vindoo vidogo vile vya sabuni za unga [VISADO" au makopo yale ya peanut butter tulikuwa tunayaita "BANGALA"....Hahahahahaaaa.
Kuna watu walikuwa Expert kwenye masuala ya chakula, kwenye uji watu wanaenda na sahani badala ya kikombe maana sahani ilikuwa inarahisisha uji kupoa na unaunywa haraka unarudia tena kabla foleni haijaisha
Ontario angefaa kuwa mwizi ... Wa shule .. HiiIta waliosoma Mkwawa High School waje waongezee uzoefu wa boarding school......
Hongera kwa ulichokiwaza, ila hujatuambia wadokozi wa vitu vya wenzao na wapiga kelele darasani na bwenini wangekuwa akina nani?[emoji12]
Niambie dearBabe
hahahaha meningekua kaka wa darasa tozi mademu wote wananishobokea daah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pyeeee!we ungekua mnokoooo halafu mitihani wa mwishoooo!!!unajifanya msongooo kumbe bureee
Unawahi kwenye foleni unahakikisha upo top ten, ukipata share ya kwanza unapiga kwa dakika 5 unaenda kuosha sahani unapanga mstari tenaSahani mbili mbiliii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa
nimesema niko serious mkuu? nije assume tu darasani mtu katoa hoja ni nd nimejibu HVOusiwe hivyo hii ni chit chat mkuu " kuna watu humu wanaakili mpaka Harvard wanaona " wivu but huamua kujishusha kwakuja chit chat kwaminajili yakupoteza/ kujifariji na maisha
usijali " reluxnimesema niko serious mkuu? nije assume tu darasani mtu katoa hoja ni nd nimejibu HVO