Mbona umestuka sasa besti.Mmmhhh
Eeh kumbe ndio michezo yenu ππNilikutafuta PM kwa ID nyingine, ukakausha.
Cheki PM za July mwishoni.
ile ID niliiona nilijua ni wasiojulikana aiseeeeNilikutafuta PM kwa ID nyingine, ukakausha.
Cheki PM za July mwishoni.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mbona umestuka sasa besti.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.
π π π πSweetieLee achomoa mtongozo hadharani
Habari kamili UK. 10
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh kumbe ndio michezo yenu [emoji23][emoji23]
Eeh kumbe ndio michezo yenu ππ
Je wataka kujua ni id zipi hizi?. Soma ndani uk 4Kuna ID zimeenda kufanya sup [emoji23][emoji125]
Au siku nikija hapo moa wa jirani nitakutafuta, muhimu tu usije weka picha yangu kama profile ya ID yako.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
ile ID niliiona nilijua ni wasiojulikana aiseeee
Don MwenyeweHa ha ha, eti wasiojulikana.
Au ulijua ni yule mjeshi ambaye umechakata papuchi ya mwanae?
Hapo sawa lakini usiitumie vibayaKuna ID ya backup lazima uwe nayo, ili hata betri ikichomolewa unabaki kwa ID nyingine.
Mzigua90 ajiua na kupotelea kusikojulikana. Polisi wanaendelea na uchunguzi. Habari zaidi uk 6Sasa sio sirii Mzigua90 ni dume lililojivika uanamke.
Hatimaye MOTHER confesser asema kilichomfanya abadili ID
Trend ya ID mpya yathibitika ni kutokana na member wengi kuogopa kuwekwa picha zao hadharani
manengelo apotea katika mazingira ya kutatanisha. Polisii wanaendelea na uchunguzi kumjua member aliesababisha Manengelo kupotea.
Jifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
Halafu huwa wanaandika hivi uk3 unaenda unakuta hamna kitu.
Hapo sawa lakini usiitumie vibaya
Usijali kabisaaAu siku nikija hapo moa wa jirani nitakutafuta, muhimu tu usije weka picha yangu kama profile ya ID yako.
Nitakimbia JF kimoja