JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Hahaa Daby unachekesha aisee
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k

Vichwa vitasomeka hivi.

1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini

2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).

3. 7800 yazua kizaa zaa.

4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)

5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)

Ongeza vichwa vya habari.
 
Sasa sio sirii Mzigua90 ni dume lililojivika uanamke.

Hatimaye MOTHER confesser asema kilichomfanya abadili ID

Trend ya ID mpya yathibitika ni kutokana na member wengi kuogopa kuwekwa picha zao hadharani

manengelo apotea katika mazingira ya kutatanisha. Polisii wanaendelea na uchunguzi kumjua member aliesababisha Manengelo kupotea.

Jifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
Mzigua90 ajiua na kupotelea kusikojulikana. Polisi wanaendelea na uchunguzi. Habari zaidi uk 6
 
Back
Top Bottom